Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Air valve ni valve ambayo ina linda bomba lisi pasuke na kusaidia msukumo wa maji uende vizuri...Kuna kitu kina itwa water hammer. water hammer hii ni pale hewa na maji vina kutana kwenye bomba then kila mmoja ana pambana kupita mfano mdogo unapo fungua bomba badala ya kutoa maji inatoka hewa vile vile ina leta tatizo la mzunguko wa maji kubwa zaidi kupasuka kwa bomba la maji.. Hili kuondoa haya matatizo ina fungwa valve hii ambayo kazi yake ni kuondoa hewa ndani ya bomba na kuna size mbali mbali kulingana na matumizi ya eneo husika..
IMG-20230616-WA0001.jpg
 
Gate Valve au stop cock kisheria ina bidi ikae inje hili i control maji yanayo ingia ndani lakini inapo wekwa ndani ni kosa ikitokea ika alibika au bomba kupasuka utakuwa huna jinsi ya ku control maji tena mpaka uka funge kwenye mita au tank maana ukarabati wake ni mgumu sana..
IMG-20230616-WA0006.jpg
 
Kwa ajili ya wazee au wagonjwa ina fungwa kwenye choo cha kukaa bei 200,000/= kwa dar
IMG-20231003-WA0038.jpg
 
Gate Valve au stop cock kisheria ina bidi ikae inje hili i control maji yanayo ingia ndani lakini inapo wekwa ndani ni kosa ikitokea ika alibika au bomba kupasuka utakuwa huna jinsi ya ku control maji tena mpaka uka funge kwenye mita au tank maana ukarabati wake ni mgumu sana..View attachment 2659300
Mkuu gate valve sio sheria ikae njee. Hata ndani inakaa, ila sheria ni lazima iwe mwanzo kabla ya Sanitary ware yeyote ile kufuata ili kuweza kuthibiti maji iwapo kuna shida kwenye sanitary ware au wakati wa maintenance. Hapo jamaa kaweka stop cock sijajua mantiki yake labda ametaka aifanye kama Angle valve.
 
Mkuu endapo gate valve iki alibika uoni utaleta ualibfu tukianzia na tilies
 
Mkuu endapo gate valve iki alibika uoni utaleta ualibfu tukianzia na tilies
20231107_112037.jpg

Mkuu kwa mfano hii PPR gate valve ipo ndani ambapo tiles zipo chini, na mara nyingi ikiharibika ni kile ki rubber seal kinakua kimelika unaweza ukaifungua gate valve na kuweka ki rubber seal kingine bila kuathiri miundo mbinu mingine
images.jpeg
 
Kwa maitaji ya kujengewa chemba zenye ubora na kwa bei nafuu 0785707660
IMG_20240401_165958_921.jpg
993676620.jpg
2080537300.jpg
 
Back
Top Bottom