Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

Ivi mnavyosem maisha ni matamu ni kiaje lbda huenda kuna vitu nakazia fuvu bila kuelew
Mimi umri wangu wa mahangaiko umeshapita, now naenjoy tu.
Watoto wameshakua, familia yangu haina matatizo, nina uhuru binafsi, nimetimiza malengo yangu mengi na nimeridhika.

Nafanya kile ninachotaka, siyo kile ambacho inanibidi kufanya, na huo ndiyo utamu wa maisha yangu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…