Hvi siku hzi utaratibu ukoje!??
Hiyo si div 3 ya 14!??
Mbona miaka ya nyuma walipata nafasi vyuoni
Nina dogo langu kamaliza form six na alisoma CBG je ni course gani ya sayansi ambayo anaweza kusoma ili akimaliza atoke na ujuzi kichwani mbali na uhakika wa ajira. Ufaulu wake ni div 2 ya 11 yaani D flat.
Naomba kuwasilisha.
Hello wakuu
Mm nimehitimu kidato cha sita mwakahuu kwa combination ya PCB
Matokeo yangu yamenikata maini kwakwel
NINA DDE physics ndio imeniungusha kabisa
Sasa kiukweli hapa nilipo nipo njia panda
Napenda kusoma kozi za afya ila kutokana na ufaulu wangu ww kama mzoefu unaweza ukanishauri niwapi nipite ili niweze kufikia mafanikio.
Je naweza nika anza na diploma ya clinical officer au kuna njia mbadala asanteni!! Ambayo ni nuzri zaidi sitaki kurudia mtihani!!
Dogo langu amescore C E S vipi atapata chuo ngazi ya degree??
Wakuu naombeni kujua machache kuhusu hii course ya Chemical and process engineering kwa wenye utaalamu nayo mfano urahisi wake wa ajira na mengneyo na inahusika wapi zaidi
Mheshimiwa...
Kuna dogo ana CEE mwaka 2017 PCB Kwaio kumbe anaweza kupata chuo degree.
Anasema hana sifa ata mkopo ajaomba.
Na nikiomba diploma chuo kikuu naweza kupata mkopo
Samahani kwahiyo hapo inatakiwa nirudie masomo mawili au hata 1 linatosha kati ya chemistry au biology maana hayo ndio yamenipa EKwa sasa Mkopo unatolewa kwa wanajiunga na ngazi ya Degree peke yao
Biomedical engineeringNimemaliza form 6 comb PCM na matokeo yang ni div 2 point 10.
Physics. (D).
Chemistry. (D).
Adv.maths. (B).
kwa wazoefu mlioko chuoni, kwenye ajira na mliojiajili naombeni mnishauli faculty nzuri ya kusomea yenye uafadhali wa maslahi, urahisi wa kuajiliwa au kujiajili kama nikifanikiwa kumaliza chuo.
N.B mliosoma PCM na mko chuo au mmemaliza nahitaji zaidi mchango wenu
Siku hz watu wanaangialia wap kuna lipa co unataka kuwa nanOlevel umesoma sayansi,A level umesoma madudu mengine,history,!!!HV huwa mmelogwa au?unapokuwa kidato cha pili,unatakiwa uwe unajua,utasoma masomo gani,kidato cha tatu,na unataka uwe nani huku duniani, dakitari, Muhandisi, Mtaalamu wa kilimo, ICT, Mwanasiasa, Mwalimu, Mwanasheria, nk, sasa ukipelekwa na upepo wa matokeo,inakuwa umepoteza muda,sasa wewe unataka kusoma IT,wakati kidato cha sita hukusoma sayansi!kwahiyo inabidi ukatumie cheti cha form four,sasa miaka miwili ya A level,siimepotea bure,,baada ya kumaliza form four, ungeenda DIT, ungepiga, diploma, miaka miwili, then unaunganisha mitatu tena sasa HV, ama ungekuwa unasoma bachelor In Engineering,au ungekuwa kazini,unalipwa mshahara.
Sie Anko zenu,tumemaliza form four 99,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,no mobile phones,no smart phones,lakini tulijitaidi kupata taarifa,za kutosha ni nini tunataka maishani na nini tusome,sasa Leo kila kitu kipo,information on ur fingertips,!!!mnafeli wapi?!!!inakuwa kama mnasoma kama vipofu,mkigonga ukuta ndio mnajua mmefika,
Mimi niliamua kuwa nataka kuwa engineer nikiwa kidato cha pili.
Na niliihapa lazima nisome UD nikiwa darasa la saba,nilivutiwa na matamasha,ya siku ya mtoto was afrika yaliyokuwa yakifanyika UD ukumbi wa nkuruma.
Samahani kwahiyo hapo inatakiwa nirudie masomo mawili au hata 1 linatosha kati ya chemistry au biology maana hayo ndio yamenipa E
Sijakuelewa kidogo hapo mwisho kiongozi" I kirusi a utapata?"Kwa nini urudie na unaoption ya Dip una uhakika I kirusi a utapata?
Na diploma kaka shida yake Ni karo kiongozi na pesa ya matumizi familia zetu wengine hali mbayaSijakuelewa kidogo hapo mwisho kiongozi" I kirusi a utapata?"
Sijakuelewa kidogo hapo mwisho kiongozi" I kirusi a utapata?"
Ntajitahidi tu make ata advance nimesomwa mwaka 1 form 6 tuDah keyboard na auto suggestion nilimaanisha ukirudia mtihani utafaulu?
kuna jamaa frani alikua nasoma faculty ya microbiology hapo UD.πππKwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
Kama anataka kusoma Md CUHAS Mwanza nicheki PmMdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible?
=====
Habari wanaJF,
Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na namna ya kuchagua vyuo.
Ikumbukwe TCU wana vigezo kwa ajili ya kujiunga na elimu ya juu.
Karibuni.
Anapata chuo kama utapenda nichk nikupe mchongoDogo langu amescore C E S vipi atapata chuo ngazi ya degree??
Mwambie anichek nimpe mchongo,anaenda chuo vizr na boom anapokeaMheshimiwa...
Kuna dogo ana CEE mwaka 2017 PCB Kwaio kumbe anaweza kupata chuo degree.
Anasema hana sifa ata mkopo ajaomba.