Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Aisee.
Hiyo ya kusahaulishwa ndio naisikia leo.
Kwahiyo nakua napasahau kabisa au nakuaa nakumbuka ila naingiwa na uvivu wa kwenda site?
 
Hapo wengi wamelia.
Mimi siwezi fanya ujinga huo, bora likae boma.
Wamiliki wamegeuzwa watumwa kwenye mali zao. Kila siku mahakamani.
Na wengine wanaishia kuokota makopo.
Umekuwa muungwana na Mzalendo. Ubarikiwe sana. Huyo utakayemkabidhi nyumba hakikisha mnaandikishiana kwa mwanasheria na serikali ya mtaa ili wema wako; usikuponze. All the best
 
Asante, nashukuru pia kwa ushauri
 
Anachotakiwa Kufanya Kwasasa Aache Nyumba Ilivyo
Atengeneze Chumba Kimoja Mlango Atafute Mtu Akae Bure Amwangalizie


Jenga Uza, Wapo Dodoma Pia Ni Wasumbufu Mkifika Court Watakupotezea Muda Bure
Upo sahihi mkuu ushauri wako ni mzuri, afanye hivyo. Na wengi wanaofanya huo uhuni kwa mjini ni matajiri wenye pesa hata kushindana nao kwenye hizi mahakama zetu ni kupoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…