Karibu uraiani Tundu Antiphas Mughwai Lissu, heshima iliyoje kwako DPP Mwakitalu

Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Hapo tuuh!Amna kingine Cha msingi nkamu umeandika.
 
Mtu wa aina hii,mtuhumiwa wa kesi ya uhaini anayenyimwa haki ya kuabudu na kuwekwa kwa wanaosubiri kunyongwa lakini anafundisha sheria mahakamani Kisutu kwa wanasheria wa serikali bila kujali anasubiri kunyongwa, halafu huyu CCM wanataka kumnyonga mpaka afe baada ya kushindwa marisasi!
 
Karibu uraiani Tundu Antiphas Mughwai Lissu, heshima iliyoje kwako DPP Mwakitalu
Dah,
Mie siyo mnywaji, ila nimesoma heading tu nikaagiza wine fulani kabisa, baada ya kusoma maelezo imebidi nisitishe kwanza maana sijaelewa vizuri!
Em tufanyie wepesi mkuu
 
"Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU."

Sasa kama boss wenu mwenyewe aliwahi sema form 4 hakufanya vizuri sasa unategemea atakua na mawazo chanya kwenye mambo makubwa makubwa matokeo yake ndani ya miaka 4 kaingiza nchi kwenye madeni makubwa kuliko miaka yote waliokaa watangulizi wake.
 
Kama Lissu akiwa Rais wa nchii hii akimaliza muda wake anayefaa atakua John Heche. Na Lissu asije akaenda na Heche kua makamu wake Heche anafaa kua waziri mkuu ili ashughulike kiulalo ulalo na mawaziri wenzake.

NB:ila katiba ibadilike raisi akifia madarakani ufanyike uchaguzi mwingine hakuna mambo ya kurithi kama mtu anarithi mali za baba yake.
 
Mmmh!

Ngoja tu niamini kwa sababu ya jina la mleta mada

Watu nadra kuwepo hapa, huja wakiwa na vitu vya ukweli

Kwa heri CCM
 
^Mniachie mimi nikimbizane nao!^

^Basi tukutane baada ya wiki mbili!^

^Kama ni hivyo, ni sawa Mh. Hakimu. Nimeelewa.^

Dah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ