Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

Ila uticha ni wito aisee kuna memba alishawahi anduka huu kakopa hela ndefu nahisi M18 kama ulivoandika akaenda kufungua duka la nguo za kike kikamlambaa akawa anaomba ushauri "eti jamani nikimbie ajira ama?"mana kwa mwez alikua abaambulia 150,000 tu
Ni weengi sana wapo huku makazini, ni weengi sana.
 
Walimu wa Tanzania tatizo lenu ni upumbavu ndiyo maana mnaona kazi ya ualimu ni ngumu au mbaya ...mnashindwa kutumia akili zenu vizuri... labda kwa sababu akili zenyewe mlizo nazo ni finyu ...hakuna kazi nyepesi na nzuri kama ualimu ila inategemea namna mnavyo endesha shule ...kwa kukosa kwenu akili badala ya kuitaka serikali ingalie maslai ya walimu kwa kuangalia ufanisi wa shule na masomo nyinyi mnataka serikali iwapatie mishahara mikubwa kwa kuangalia karatasi alizopata mtu chuoni wakati anasoma hata kama ufanisi wake kwenye ualimu shuleni ni 0
 
Kufanikiwa na akili ya mtu lakin pia kw utafit wangu mdogo wengi waliofanikiwa japo sio wote waliamua kuoa au kuolewa na wenza ambao sio walimu so kukawa na balance ya kupata muda wa kusimamia miradi waliyoanzisha
 
Kwenye ualimu huna tarajio lolote, sio tu tarajio kubwa, yaani hakuna future yoyote.
Sadakta! we kila siku unashinda na watoto utakuwa na uwezo kufikiria "out of the box" tuseme mshahara 690000/= bodi ya mikopo 15%, pay as you earn 11% , chama cha waalimu... ...., mifuko ya hifadhi ya jamii....., chama cha wafanyakazi....., kausha damu..... , unadaiwa benki..., lazima mwalimu aishi kwa shida!!!!
 
Duh 18M?

Diploma holder wa TCB anakopa 35M baada ya kuthibitishwa kwa mkopo wa Mortgage kisha anaweza kukopa 60M miezi kadhaa baada ya kukopa hiyo 35M.

Kwahiyo huyu wa 18M anapoandikiwa maximum amount kukopa ni 200M na hawa NMB maana yake ni nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…