Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 379
- 1,082
- Thread starter
- #161
Nina mwaka wa pili kazini bado unaniita maskini? Sawa, lakini chunguza huyo mwalimu aliefanikiwa kama anashinda shuleni, au kama anatimiza majukumu yake ya msingi.Kama wewe ndiyo ualimu haujakupa mafanikio ni wewe ila ukienda mikoani utashangaa jinsi waalimu walivyofanikiwa kama wewe ni masikini ni wewe tu