Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

Kama wewe ndiyo ualimu haujakupa mafanikio ni wewe ila ukienda mikoani utashangaa jinsi waalimu walivyofanikiwa kama wewe ni masikini ni wewe tu
Nina mwaka wa pili kazini bado unaniita maskini? Sawa, lakini chunguza huyo mwalimu aliefanikiwa kama anashinda shuleni, au kama anatimiza majukumu yake ya msingi.
 
Nina mwaka wa pili kazini bado unaniita maskini? Sawa, lakini chunguza huyo mwalimu aliefanikiwa kama anashinda shuleni, au kama anatimiza majukumu yake ya msingi.
Sasa point yako ni ipi kushinda kazini au kuajiriwa kama mwalimu?
 
Na huyo anaepokea laki tano la 47 kama basic ni mtu mzima miaka 47, bahati mbaya hakuna mtumishi wa local government ambaye anaeweza kufanya maendeleo yoyote bila kukopa, kabla ya kukopa uwezo wa kula utakua nao, ukishakopa hata kula hutoweza tena.
Ni huzuni ndio maana nasema kama unapata hizo ajira basi uwe umeachiwa URITHI. Bila urithi utakula kwa shida sana🤝
 
Back
Top Bottom