Karibuni kwenye Kituo cha biblia cha Kanisa Katoliki (KBKK)

maswali gani mkuu ninawwza nikakusaidia
 
Kulikuwa hakuna shule eti unaweza mpeleka mtoto huko...


Kifupi Rabi alikuwa anachagua wanafunzi wake kisha anawafundisha kwa kipindi kirefu...


Hujui Historia wewe...kaaa kimya
Uchambuzi wa sentensi moja kweny sentensi nyingi ni ushahidi kuwa umeelewa ulizoziacha.
Vyovyote vile ila hakuna ushahidi Yesu alisoma kwenye shule za Marabbi, Ila upo ushahidi akiwakosa marabbi na elimu zao potofu.
kuhusu historia, huitaji historia kujua kuwa kulikuwa na shule zamani za agano jipya.
Mfano,
Matendo 19:9 utaona baada ya Paulo kufukuzwa sinagogini akaenda kuhojiana na kujifunza kila siku kwenye Darasa la mtu mmoja aitwaye TIRANO. Darasa hilo halikuwa kanisa lilikuwa ni shule ndugu. Unadhani kwa nini wanafunzi wa Yesu waliitwa watu wasio na elimu? maana yake kulikuwa na mfumo wa elimu ndugu,
acha ubishi.
 
Nikitaka kujua nani kakusanya (bibilia au maandiko matakatifu) sihitaji mitaguso, nahitaji Bibiliq kujua imeanza kukusanywa enzi za wakina ezra na nehemia. kama kuna kikundi kilijitolea kukusanya vitu ambavyo vipo tayari kwa faida yao hilo siwezi kuzungumzia.
Pia kuna stram 3 zilizopelekea bibilia zilizopo kuwepo, Mimi nazungumzia hadi Textus Receptus mlizozipiga marufuku mtaguso wa Trent ambazo zilitoka kwenye vyanzo mbalimbali vya kale navyo vikaleta neno la Mungu.
 
Zaidi ya Porojo kwenye Last reply yako kuhusu hili jibu lako ambalo ndio chanzo ya maelezo yako, hujaonyesha kwa bibilia kuwa Mafarisayo na Masadukayo walikuwa sio wajuzi wa maandiko. (
wafarisayo, wasadukayo na wengine kama waeseni, wazeloti nk hawakuwa na wala hawajawahi kuwa wabobezi au wataalamu wa maandiko ...)

Nimekushawishi kwa maandiko kukuonyesha kauli hii ni uongo.
na nimekuonyesha Farisayo Paulo aliyepitia Darasani pia.


uwe unaacha kujibu siasa mahala ambapo maandiko yameshapafunga.
 
Naona una ubishi Wa kuzaliwa. Nitaleta mada spesheli kwa ajili ya suala la Elimu ya Yesu.
asante kwa maoni.
Jifunze kujibu hoja, usijifiche kwenye vichaka vya kuita ubishi. JF humu tuko huru kuhojiana kwa lolote, ungekuwa kwenye mimbari ya kanisa pale huwa hatuhojiani ni kuchukua au kukataa.
Humu lazima tukuhoji, tukukosoe, tukukemee ukipotosha, tukurekebishe etc hadi wakuu wetu wabadili mfumo iwe ninsehemu ya kasisi kuanzisha mada na sisi waumini kumsherekea na kumpongeza tu.

otherwise mkuu utalaumu sana kuona wabishi kumbe tatizo ni wewe uwezo finyu wa kutetea mambo unayoanzisha kwa kuanzisha mada au kujaribu kurepy hoja ambayo mchangiaji kaitoa.
 
maswal yangu yalikuwa ni haya hapa chini ninayarudia

kwenye uzi wangu hakuna mahali nimezungumzia WASABATO na REFORMERS so
tetea unachokidai juu ya uzi na sio hisia
hujazungumzia ila umedokoa kasentensi kwenye repy yangu kwa mdau mwingine na kukajengea maswali ambayo unayang'angania hivyo ulivyoviacha vinajibu maswali yako.
naona nimekupa tena umekwepa ukachagua neno Sabato ili uzidi kuhamisha mda wakati maelezo yanayokuhusu nimeyabold.

mkuu nakujua kwa ubora wako wa kujichagulia unachopenda kukijadili kwenye maelezo ya mtu mwingine.

vingijevyo unihakikishie unamatatizo ya macho mkuu.
 
😂😂😂😂
Kuna kitu wanaogopa.........
hahaha
mkuu tunawapa pongezi kwa uamuzi mzuri, maana italeta tija hata kwenye mijadala mbalimbali, kutakuwa na upungufu wa mtu kutoa biblical verses wakati mwenzako anatoa utetezinwa kidini au kimakaririsho. au anatuhumiwa marehemu EGW badala ya kuleta vifungu.

hii ni hatua nzuri ya kupongezwa na kila mtu mwenye akili nzuri.
napendekeza
Jiwe la Ma
Sanctus
Otoro
Ilogello
Kimaro
Sala na Kazi
mtazamo
...
wasikose
 
Nimekuelewa sana......Na ninakufahamu wewe ni mtu ambaye hujui kitu ila unajitutumua kwa namna yoyote ile uonekane unajua....


Jibu nililotoa ni sahihi kabisa ndio maana nika-quote hapo
Wala hilo swali haliitaji jibu kutoka kwako...nimeliweka makusudi kukumbusha kitu fulani....

Kabla hujajibu tayari nimeshasoma mind yako ...
asante kwa maoni.
Ila ushauri kuhusu career hiyo ya ujuzi wa watu, na ujuzi wa kusoma watu kabla hawajajibu .

" Moyo huwa ni mdanganyifu kuliko vitu vyote na unaugonjwa wa kufisha, ni nani awezae kuujua?'' Yeremia 17:9
Ni uongo kuamini unaweza kumfahamu mtu au kufahamu in advance mtu atasema nini.
Comments hizo pia ni Unbiblical opinions.
 
angalia humo nilimobold na kupigia mistari HALAFU URUDI NA MAJIBU .....
 
nimefumba macho kwa muda na nimeamua kukubaliana na uongo wako wa kihistoria na kibiblia kwamba "kila farisayo, sadukayo, zeloti nk alikuwa na taaluma (professional) ya maandiko matakatifu na ili kuwa farisayo, sadukayo ni lazima uwe mbobezi katika fani hiyo ya maandiko matakatifu"

SASA TUELEZE KINAGAUBAGA WALE WANAOITWA "WANDISHI AU WAALIMU WA SHERIA WALIKUWA NI AKINA NANI ?,WALIKUWA NA TAALAUMA GANI ? , WALIBOBEA KATIKA NINI ? , NA KAZI YAO ILIKUWA NINI HASA ? NA TUELEZE LILIKUWA NI DHEHEBU LA KIDINI KAMA FARISAYO, SADUKAYO NK AU LA ?
 
Asante sana kwa upendo walahi
 
para ya kwanza umeframe maelezo chonganishi kana kwamba husomi ninachoandika.
1:Nimetenga makundi mawili (mafarisayo na masadukayo) kuwa hawa ni wajuzi wa maandiko. Nikasema kwa upendo mwingi Zealots (wawili walikuwa wanafunzi wa Yesu) na wengine wote hawa sio wajuzi wa maandiko bali ni wafia nchi tu.
Kitendo cha kuunganisha nilivyovitenganisha kinanipa mashaka wenda husomi au unakisoma kivivu kila ninachokuandikia maana nimeonekana kuwa na mizaha, au ni mbinu chonganishi za kujadili mambo ya uzima.

2:Sentensi uliyoiweka para ya kwanza, umeiframe ili ikunufaishe, ungekuwa na nia chanya ungefukua nilichoandika mimi ili ujengee hoja hapo, sio unachodhani wewe. Kufunga na Mafarisayo na Masadukayo nasisitiza Kwa ushahidi wa maandiko niliyokupa huko nyuma hakuna farisayo kilaza wa sheria na maandiko yao ya kale. Kunaweza kuwa na tofauti wa kitaalimungu kati ya makundi haya mawili lkn wote walijua maandiko. farisayo paulo alijua, farisayo gamalieli alijua, mafarisayo waliomtega Yesu walijua.
Yohana 3:1 inadhibitisha zaidi " Nikodemu mmoja wa MAFARISAYO''. Kila kujali kiwango cha ubobezi kwa mujibu wa bibilia farisayo ni mjuzi wa maandiko na sheria za kale.

3:Waandishi
kabla ya waisraeli(Yuda) kwenda utumwani Babeli, hawa waandishi walikuwa ni kama makarani wa ikulu za wafalme tu.
Ushahidi 2 Samweli 8:17 , 2 Sam20:25 (shausha mwandishi),
2 Wafalme 19:2 (shebna mwandishi wa ikulu ya hezekia).
ila baada ya kipindi cha utumwa na kuanguka kwa falme za kiyahudi hawa mabwana walikuwa na kazi ya kunukuu sheria zote, na huwezi kunukuu sheria na usiwe mjuzi wake, ikapelekea hawa kuitwa mascholers na wabobezi wa sheria, na baadae kujitenga na kuwa kama tabaka flani la wajuzi waliokuwa na wafuasi. Hii yote haikanushi sentensi nyeupe na zilizowazi ktk bibilia kuwa mafarisayo na masadukayo kuwa wajuzi wa maandiko walioyaamini japo walijitenga na kuwa kama vikundi vya kidini.

ushawishi wowote wa kihistoria utakaowareduce mafarisayo na masadukayo katika viwango vya vilaza na kuwakalisha benchi moja na mazealots na raia wa kawaida wa uyahudi ni historia takafujo.
udhaifu wa hoja ni kuwaita hawa jamaa mafarisayo na masadukayo hawakuwahi kubobea wakati bibilia imetaja mafarisayo wabobezi, na walikuwa na wanafunzi wao maana nao walibobeshwa.

ubarikiwe mkuu.
 
ndugu yangu katika kristo isiwe kesi wala usipate tabu sana. najua kwa kila unachoulizwa unasubiri ukagoogle kwanza na kusearch mitandaoni ndio urudishe majibu.

hivyo nisikuchoshe sana na maswali yangu ya kitoto yanayohitaji urudi LIBRARY zenye marejeo ya kueleweka. ili kuelewa na kujibu unachoulizwa.

TAZAMA IZI SENTENSI ZAKO HAPA CHINI HASA KWENYE BOLD THEN UZITAFAKARI.
Sentensi uliyoiweka para ya kwanza, umeiframe ili ikunufaishe, ungekuwa na nia chanya ungefukua nilichoandika mimi il
uwe unaquote maelezo yote, kunyofoa kipengele ambacho kilipewa nguvu na maelezo ambayo umeyaacha ni dhambi inayoitwa " SIN OF OMISSION''.
"You will continue to suffer if you have an emotional reaction to everything that is said to you. True power is sitting back and observing things with logic.True power is restraint."

siku njema .........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…