Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Hii jeuri usipokufa kwa ajali,sijui
Acha uchuro, tunaishi leo… kesho yako pia hujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii jeuri usipokufa kwa ajali,sijui
Kama umetambua ivo acha kutuita watumwa tulio chini yako.Nas tunapambana kama ulivyopambana.Ubarikiwe sana mkuuAcha uchuro, tunaishi leo… kesho yako pia hujui.
Nitakuinbox mkuu,don un awayWapo ila sio kivile,karibu sana,usisikilize watu waliojikatia tamaa humu,ambao huamini kua jambo gumu kwao basi ni gumu na kwa wengine pia.
Nini maana ya utumwa mkuu?Umepewa tenda kushawishi wabongo wakawe watumwa ughaibuni, siyo?
Mkuu kuondoka nchini kwako kwenda kutumika nchini nyingine ndo utumwa huo, hasa kama upo tayari kuweka rehani maisha yako. Kuna weusi kibao wamepoteza maisha yao bahari ya mediterranean kwenda kusaka maisha ulaya.....na huo ndo utumwa ninaoongelea hapa.Nini maana ya utumwa mkuu?
Je wale wanaotoka nchi zingine kuja huko Bongo nao ni watumwa? au hua ikoje?
Mkuu kuhusu hao wanaofia baharini ni coz ya njia ya hatari wanayoitumia katika kusafiri na sio njia ya kihalali but maisha ni popote,kila mtu yupo huru kutafuta riziki popote pale ili mradi tu afuate sheria na taratibu,Mkuu kuondoka nchini kwako kwenda kutumika nchini nyingine ndo utumwa huo, hasa kama upo tayari kuweka rehani maisha yako. Kuna weusi kibao wamepoteza maisha yao bahari ya mediterranean kwenda kusaka maisha ulaya.....na huo ndo utumwa ninaoongelea hapa.
Mkuu waisraeli njaa ndo iliwapeleka misri, lakini waliishia kuishi maisha ya utumwa ambayo hayakuwa ya hadhi ya kwao hadi walipoondoka kwenda kwenye nchi ya kwao. Kaa ujielimishe vizuri maana ya kuwa mtumwa na maana ya kuwa huru, utakuja kunielewa....elewa kwamba utumwa pia upo kwenye namna unavyoishi fikra na mitazamo yako.Mkuu kuhusu hao wanaofia baharini ni coz ya njia ya hatari wanayoitumia katika kusafiri na sio njia ya kihalali but maisha ni popote,kila mtu yupo huru kutafuta riziki popote pale ili mradi tu afuate sheria na taratibu,
Kwenda nchi zingine kutafuta maisha sio utumwa,mtu anaweza kua mtumwa hata ndani ya nchi yake,sometimes maisha ni lazima u take risk,wanasema uoga wako ndio umasikini wako.
umeongea fact mkuu, yaani watu wanaweza wakamponda mtu Hadi akavunjika moyo kuwapa michongo na Wengine , watanzania wengi wao Wana roho za husdaHuijui jf wewe...! Yuko right....soma nyuzi zake malaika walivyomkarahisha...! Ngumu sana kutoa connection kwa jamii iliyo na negativity za kiwango cha mwendokasi...acha tuteseke tufe tu wabaki wenye akili postive!
kwaiyo nawewe nawe ni tajiri !!! Masikini mnapenda kujitutumuaPata hela nawe uanze dharau, unajivunia ufukara?
Haters,Ungejua Per Diem yupo Sinza kwa Remmy usingeandika hivi...
Haya ni mawazo ya kimasikini na ya mtu aliyejikatia tamaa.Ungejua Per Diem yupo Sinza kwa Remmy usingeandika hivi...
Alafu hao hao anakuja ana id nyingine anakuomba uende pm umpe hata10000😀😀umeongea fact mkuu, yaani watu wanaweza wakamponda mtu Hadi akavunjika moyo kuwapa michongo na Wengine , watanzania wengi wao Wana roho za husda
Umeanza ww mzalendo no 1Umepewa tenda kushawishi wabongo wakawe watumwa ughaibuni, siyo?
TenaumaskinikonkwakukosahatahelayakulaHaya ni mawazo ya kimasikini na ya mtu aliyejikatia tamaa.
Najua muda huo ulikuwa bwaxPata hela nawe uanze dharau, unajivunia ufukara?
Achana nae mkuuAliekwambia mi fukara nani we mbuzi