Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Nini maana ya utumwa mkuu?

Je wale wanaotoka nchi zingine kuja huko Bongo nao ni watumwa? au hua ikoje?
Mkuu kuondoka nchini kwako kwenda kutumika nchini nyingine ndo utumwa huo, hasa kama upo tayari kuweka rehani maisha yako. Kuna weusi kibao wamepoteza maisha yao bahari ya mediterranean kwenda kusaka maisha ulaya.....na huo ndo utumwa ninaoongelea hapa.
 
Mkuu kuhusu hao wanaofia baharini ni coz ya njia ya hatari wanayoitumia katika kusafiri na sio njia ya kihalali but maisha ni popote,kila mtu yupo huru kutafuta riziki popote pale ili mradi tu afuate sheria na taratibu,

Kwenda nchi zingine kutafuta maisha sio utumwa,mtu anaweza kua mtumwa hata ndani ya nchi yake,sometimes maisha ni lazima u take risk,wanasema uoga wako ndio umasikini wako.
 
Mkuu waisraeli njaa ndo iliwapeleka misri, lakini waliishia kuishi maisha ya utumwa ambayo hayakuwa ya hadhi ya kwao hadi walipoondoka kwenda kwenye nchi ya kwao. Kaa ujielimishe vizuri maana ya kuwa mtumwa na maana ya kuwa huru, utakuja kunielewa....elewa kwamba utumwa pia upo kwenye namna unavyoishi fikra na mitazamo yako.
 
Huijui jf wewe...! Yuko right....soma nyuzi zake malaika walivyomkarahisha...! Ngumu sana kutoa connection kwa jamii iliyo na negativity za kiwango cha mwendokasi...acha tuteseke tufe tu wabaki wenye akili postive!
umeongea fact mkuu, yaani watu wanaweza wakamponda mtu Hadi akavunjika moyo kuwapa michongo na Wengine , watanzania wengi wao Wana roho za husda
 
Back
Top Bottom