karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

kitu kama hicho nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya teknologia na nahitaji kijana mwenye wazo lakueleweka tufanye kazi mawazo yawekwe hapa hapa jukwaani
Screenshot_20230728-164224.png
Screenshot_20230728-164246.png
Nimepata hii email kutoka google, Mimi technology ninayo Hila sina mchongo, Je huko vizur kwenye mkwaja?
 
Pawepo na app kwa ajili ya kuchukua mawazo ya watz juu ya kipi Bora kwa ustawi wa nchi.
Mfano solution la tatizo la ajira,nk wapi utapata platform ya kuwakilisha solution
 
Me na solution ya mfumo wa kuzuia Lori likifeli brake unaoweza saidia gari Lori kusimama.
Hii uzuia hata Kama ni kwenye mteremko na limefeli linasimama tu.
Mfumo wenyewe ni wa kulock diff za nyuma kwenye tela kupitia PTO ambayo utegemea umeme na hydrock Panakuwa na mfumo wa kulock Axel za nyuma zisizunguke so gari itapelekea gari kusimama.
 
Kimara Mbezi isambaratishwe vilima vyote iwe flat ijengwe mji wa kibiashara yaani China town ili badala ya watu kwenda China wafate mizigo pale kwa ajili ya nchi za east, central and southern Africa
 
kijana hamna biashara inayo anza ka kukua kwa pupa ety utoe huduma tanzania nzima always biashara inakua hii ndio sababu watu hufa na mawazo yao.
Kwa wazo langu iyo pesa itaishia kumulipa developer na kufanya promo kwenye social media, radio and television.

Vp office kila jiji

Vp mishahara kwa miezi 24 ya mwanzo wakati tunajenga trust worthy.
 
kitu kama hicho nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya teknologia na nahitaji kijana mwenye wazo lakueleweka tufanye kazi mawazo yawekwe hapa hapa jukwaani
Hautaiba mawazo ya watu? Mi ninawazo la mabilioni utaweza? Je upo tayari kuingia mikataba. Kama upo tayari ni pm its multibilion company idea imelala mwaka wa4 nwishowe itahamia kwa vichwa vya wengine
 
Back
Top Bottom