Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Mkuu bado upo!kijana hamna biashara inayo anza ka kukua kwa pupa ety utoe huduma tanzania nzima always biashara inakua hii ndio sababu watu hufa na mawazo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado upo!kijana hamna biashara inayo anza ka kukua kwa pupa ety utoe huduma tanzania nzima always biashara inakua hii ndio sababu watu hufa na mawazo yao.
nimekosa mtu mwenye plan ya kueleweka na hii ndio tatizo la wa TanzaniaMkuu bado upo!
nina wazo mengi wazo la kwanza ni kutengeneza program za kuwasaidia madaktari kuweza kufahamu kitu gani ambacho mgonjwa anaumwa yaani tunatengeneza program itakayokua na uwezo wa kucombine symptoms na signs na kutoa suggestion ya kitu ambacho kinaweza kuwa kinamsumbua mgonjwa hii itasaidia hawa watu wa medical kuingia chaka.kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Wazo la 1: Madaktari wa bongo wanajua sana, kwa hiyo program yako utatumia wewe mwenyewe na wajanja wachache.nina wazo mengi wazo la kwanza ni kutengeneza program za kuwasaidia madaktari kuweza kufahamu kitu gani ambacho mgonjwa anaumwa yaani tunatengeneza program itakayokua na uwezo wa kucombine symptoms na signs na kutoa suggestion ya kitu ambacho kinaweza kuwa kinamsumbua mgonjwa hii itasaidia hawa watu wa medical kuingia chaka.
Lingine ni tujifunze namna ya utengenez vfx au masuala ya effects za kwenye movies ama music videos then baada ya hapa tutengeneze cartoon zenye quality nzuri kama za mbele lakini za kiswahili mfano zile hadithi za kina bibi na babu tunazihamishia kwenye 3d animation kutumia app kama houdini ama blender nina idea nyingi tuu sema niko sehemu tight kidogo nicheki hata pm kushare idea mbili tatu kubadilishana mawazo
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Mwizi wa mawazo.Wewe Ni sponsor au vp sijaelewa Nini hasa lengo la uzi wako
Inabidi uwe na soft skills + hard skillsNataka kuwa guru App developer nafanyaje
Nitumie namba yako PM nikucheki WhatsApp tuongeeInabidi uwe na soft skills + hard skills
Soft skills ni km problem solving, patience, creativity, attention to detail & communication
Hard skills hapa inabidi uwe na measurable technical skills km programming languages & software skills
Lugha unazopaswa kujifunza:
Front end languages ni HTML/CSS na JavaScript
Back end languages ni JAVA, Python, PHP, Ruby in Rail
Ukisoma hapo unakua full stack developer Ila inabidi pia ujue masuala ya kufanya configuration za server na network
Kua Developer haina maana ujue kila kitu Mimi sio mwandishi mzuri ninaandika kwa ufupi Ila maelezo ni mengi
Wazo langu ni kuweza kutengeneza app ambayo itasaidia ku detect bacteria ambao ni waaribifu wa chakula kwenye room.
Jinsi gani jamii itakabiliana na tuliowapa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi, a. k. a kujizima datakitu kama hicho nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya teknologia na nahitaji kijana mwenye wazo lakueleweka tufanye kazi mawazo yawekwe hapa hapa jukwaani