Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

namsikiliza Meja Semunyu hapa. great ideas kuliko hawa wajinga politicians. Hawa kina Semunyu ndio wanatakiwa kuitwa waheshimiwa
 
Tanzania ukiwa lopolopo lazima utusue.....
Manara, Steve, Mwijaku, Baba Levo etc

Tukirudi kwenye mada jamaa lazima acheze tena

Ova
 
Kimasihara mandonga amepata umaarufu kuliko yule aliyempiga
ameweza kujibrand
Mandonga amekuwa dili watu wengi wanataka kumsikia hawajali atashinda au atashindwa

Nampongeza kwa hilo
Afu eti mazoezi yake anajichimbia msituni
 
huyu mandonga si ndiye yule bondia aliye tandikwa ngumi moja tuu (tena round ya kwanza) akaenda kuamkia hospitali?? sasa akae akijua kunyanyua vyuma na boxing ni vitu viwili tofauti, hiyo siku ni bora ambulance ikawa karibu karibu ili kuokoa Maisha yake!
Mandonga amesema mpinzani wake aje na jeneza.
 
Kiukweli hawa ndo watasababisha leo nisilale nione nani ataibuka mbabe.

Na mwenzake kaoneka kasema Wakazi wa Mbagala wamempa sindano ya kuja kuushona mdomo wa Mandonga hivyo leo kazi ipo. 😂
Mtani hizi game ambazo hatuna pressure nazo tuwe tunaalikana tunaangalia wote tunafurahi maisha
 
Kiukweli hawa ndo watasababisha leo nisilale ili nione nani ataibuka mbabe.

Na mwenzake kaoneka kasema Wakazi wa Mbagala wamempa sindano ya kuja kuushona mdomo wa Mandonga hivyo leo kazi ipo. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mandonga akasema hamjui kaoneka, baadae akamuambia wee ulisema hutaki tena mapambano, unatulia kulea watoto, sasa umedandia mtumbwi wa kibwengo, hauvushi watu.

Mweeeeeeh!!!!!
 
Back
Top Bottom