Shida ni kwamba unataka mambo yawe jinsi unataka ndio maana lakini hayawezi kuwa hivyo.
Kila jambo na wakati wake kama ulivyozaliwa ukaanza kutambaa na badae ukasimama na kukimbia kwanini sasa usingezaliwa unakimbia kuliko kuanza kupitia tabu zote hizo(Mfano mgumu lakini utakupeleka kwenye jibu la swali lako)