Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Paskali
Kumbuka Gwajima alivyomtukana Cardinal Pengo mwaka 2017. Hili hatulisahau, muache atumikie dhambi zake:-
 
Umesema kweli kaka Pascal. Na mengi ya yanayolalamikiwa yapo yanaweza kufanyiwa kazi na wasaidizi wake ila sasaa

Wengi wanaomzunguka Rais wanatumika kwa maslahi zao, hawana nia ya dhati ya kumsaidia kufanikiwa ila kumsaidia kushindwa. Ni waasi wa kile kinachotakiwa kufanyika.

Raiis ana wasaidizi wengi werevu lakini wasio na utii, wasioweza wala kutaka kujisimamia kutimiza majukumu yao na wazio na tone la uzalendo kwa nchi yetu.

Wengi wao hawakuwahi kutegemea angekua Rais wala hawakuwahi kumkubali kama Rais ila mazingira yamewalazimisha kufanya nae kazi. Ni muhimu sana kwa term ijayo Rais apange mikakati ya kumaliiza hili tatizo.

Mungu ibariki Tanzania
Mimi natofautiana na wewe kidogo, wanao wana mpotosha au wanasema wenye ukaribu Naye hawana uwezo, walio na uwezo wamefunikwa na wasio na uwezo. Wewe unamwekea dokezo fulani awe......, yeye kupitia wasio na uwezo wanakuja na Jina lao , wewe utafanya nini na Katiba ndio hiyo . Nani WA kumuuliza mfalme/malikia
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。

Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Achana na ceteris peribus, mutatis mutandis, eleza kile mpiga kura wa Igunga anaweza kuelewa bwana!.
 
Wanabodi

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa,urais ni kibali ili ufanye mambo kwa namna ya kumpendeza aliyekupa kibali,ukifanya vinginevyo,kibali chako kinafutwa!sababu za kufutwa kibali ni bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Wewe ni rubber stamp ya serikali, mtetezi wa kila kitu cha serikali au propaganda manager wa CCM?
Mkuu Lukumalasi, Lookmalasin
Vipi bandiko hili ni la kuitetea serikali?.
P
 
Kama karma kweli ipo ingeshawapata wakoloni na viongozi wengi wa Africa ambao wanatawala kidikteta. Wengi wanaishi maisha marefu, wanajilimbikizia utajiri na kufa uzeeni. Hapa kwetu Tanzania wangapi wameuwawa huko Zanzibar tangu Mapinduzi mpaka leo? Si karma Ingeshawapata maraisi wote wa nchi hii?

Karma ni imani tu kama vile uchawi au dini. Zaidi ya hapo karma huwezi kuthibitisha kama kweli ipo au la.
Kuishi muda mrefu ni kupewa muda wa kutubu!
 
Wanabodi

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Alichofanya Polepole kujiuzulu na kutoa sababu ni utekelezaji wa
Ushauri huu, Polepole ni anamsaidia Rais Samia kwa kumwambia ukweli utakao muepushia a bad karma.

Blaa blaa blaa blaa ndio unazoweza kuzitoa kwenye medula oblangata yako. Wewe jamaa kumbe ni bure kabisa
 
Wewe naye hueleweki sio moto sio baridi leo kule kesho huku ,simama kama wanaume ukibadilike utakuwa nguzo ya chumvi

USSR
Mjinga huish kwa misimamo ila mwenye akili hucheza na timing za interest zake na sio hisia
 
Karma haiwezi kutokea kwa Samia, itarudi kwa viongozi wa Chadema maana wanaongoza magenge ya kutekana ili kuzua taharuki ionekane ni serekali kwa nia ya kupata huruma ya wananchi
Jinga wewe!
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa,urais ni kibali ili ufanye mambo kwa namna ya kumpendeza aliyekupa kibali,ukifanya vinginevyo,kibali chako kinafutwa!sababu za kufutwa kibali ni bad karma inaweza kuwa imechangia!。Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa JPM walimuogopa wakashindwa kumsaidia kuepuka bad karma Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。

Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Pamoja na yote bro huwa upo mbele ya muda sana nyuzi zako nyingi humu ukiandika subilia outcome yake kama si.leo basi kesho utaona mfano hivi ulichosema

"Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015"

Ni moja ya sababu ambazo balozi polepole kaona na kamua jiuzuru
 
Wanabodi

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Anaekwambia ukweli anakupenda sana na hata ukifa yeye ndie anaeumia sana anaumia sababu anajaribu kukuokoa ni sawa na Mungu amekutumia Malaika, kumbe wewe umewekwa Mateka wamemuweka Mateka sasa hivi hana cha kuzungumza sana sana atasema na yeye ana maboss wake
Naunga mkono hoja, tumejitahidi kusaidia saidia
P
 
Back
Top Bottom