Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #121
Wanabodi
!。
Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu
Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!
Paskali
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli aliyekamatwa ni Humphrey Polepole, nawashauri mfanyieni tuu mohojiano kama ana hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye karma ikamshukia kama yule mtangulizi wake!.
Ni ushauri tuu!.
P