MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Kumbe aliwahi kuwa hivi 🤭🤭🤭Huyu ndiye Paschal naemfahamu sasa

Aliwahi kuwa zaidi ya hivi kabla hajaonja mizagamuano ya yuvisisiemKumbe aliwahi kuwa hivi 🤭🤭🤭
Samia asipuuze maoni ya watanzania. Nakumbuka Magufuli aliuawa na maneno ya watanzania wiki 2 kabla hajafa kweli! Na si hayo tu kila alipopata tatizo alisindikizwa na mwito wa sauti za kifo kutoka kwa watanzania.Wanabodi
leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。
Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。
Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。
Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu
Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。
Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!
Paskali
Hawezi kukusikia hata usemeje. Sikio la kufaWanabodi

Yote kwa pamoja 😎ya ng'ombe au wanakupa unyonye yao?
Huwa nachukizwa na kauli za kumtoa Rais kwenye masuala mabaya yanayotokea nchini,Ina maana kuwa Rais hana maamuzi?Kwanini maamuzi yanapokuwa hayaeleweki tunawalaumu wasaidizi wake?Yy kazi yake ni nini?Kama Rais anashauriwa mabaya na anayafuata bila kujua ubaya wake,basi tatizo ni kubwa!Wanabodi
leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。
Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。
Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。
Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu
Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。
Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!
Paskali
Wanabodi

Chagua moja!!!Yote kwa pamoja 😎
Kinachoendelea mitandaoni ni dhahiri bila hekima CCM wataingia madarakani kwa mtutu. Wazee wa Taifa hili wakiwemo former CDF wakae na mama hekima itumike. Kuna harufu sio nzur
Kuna wakati wananinyonyesha na mengine wananiwekea kwenye kikombe ila hayo ya kikombe cjui n wapi yametoka Ila nahisi ni ya ng'ombe au mbuzi 😎Chagua moja!!!
Nashukuru brother pasiii maana usukumani siye tunaita pasii so brother nashukuru umeliona si kwamba eti hatuipendi nchi yetu au serikali yetu tu aipenda tatizo kikundi cha wahuni furani wasiyo na sifa ya uongozi ndio wanamwaribia mama kwa kuhofia nafasi zao so we need changes mama hilo hakubali yani baba levo eti anataka.kuwa mbuge serious kweli sawa uongozi ni kipaji dunia ya leo ya AI inaitaji kipaji tena hapana No REFORM NO ELECTION inapaswa kupigiwa kelele kwa manufaa ya vizazi vyetuWanabodi
leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。
Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。
Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。
Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu
Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。
Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!
Paskali
No reforms no electionWanabodi

Paskali nimekuelewa big up,lkn watakuelewa maana wako kama Bata maana shimo alilodumbukia Bata wa kwanza na Bata wa pili huwa haelewi naye hudumbukia humo humo tena huyu wa pili huwa anaumia sana na kutokwa na majeraha mengi.Kabla Bata wa pili hajadumbukia tafadhali asaidiwe haraka na mapema kama kuna wanao mpenda huyu bata wa pili basi wafanye hivyo.Wanabodi
leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。
Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。
Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。
Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu
Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。
Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!
Paskali
Mmmh!.....mpaka wewe pro-ccm umeona hilo?Umesema kweli kaka Pascal. Na mengi ya yanayolalamikiwa yapo yanaweza kufanyiwa kazi na wasaidizi wake ila sasaa
Wengi wanaomzunguka Rais wanatumika kwa maslahi zao, hawana nia ya dhati ya kumsaidia kufanikiwa ila kumsaidia kushindwa. Ni waasi wa kile kinachotakiwa kufanyika.
Raiis ana wasaidizi wengi werevu lakini wasio na utii, wasioweza wala kutaka kujisimamia kutimiza majukumu yao na wazio na tone la uzalendo kwa nchi yetu.
Wengi wao hawakuwahi kutegemea angekua Rais wala hawakuwahi kumkubali kama Rais ila mazingira yamewalazimisha kufanya nae kazi. Ni muhimu sana kwa term ijayo Rais apange mikakati ya kumaliiza hili tatizo.
Mungu ibariki Tanzania