sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Wewe ulikuwa wapi kwanini haukupaza sauti ili hayo maovu yaondoke?Mimi sio mwanasiasa na wala sijuhusishi na siasa ila nacho taka kusema ni kwamba huyu bwana mdogo polepole ni mnafiki sanaaaa maana hakuna utawala uliotesa watanzania kama utawala wa Magufuli. Na huyu Bwana mdogo Polepole ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Jiwe.