GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Mbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
 
Mimi sio mwanasiasa na wala sijuhusishi na siasa ila nacho taka kusema ni kwamba huyu bwana mdogo polepole ni mnafiki sanaaaa maana hakuna utawala uliotesa watanzania kama utawala wa Magufuli. Na huyu Bwana mdogo Polepole ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Jiwe.
 
Back
Top Bottom