gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Bro,una usingizi!?Kama mwanae, hana tofsuti na Dula.
Bro,una usingizi!?Kama mwanae, hana tofsuti na Dula.
Polepole amenifurahisha na msemo wakeBro,una usingizi!?
Kumbe ni miongoni mwa Watekaji?😃😃 Acha woga kamanda mzalendo,mi ni jobless nayeshinda mtandaoni
Pia kumkumbatia Rostam Aziz rafiki wa kikwete walioshinikiza Lisu apelejwe GerezaniMbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
Wewe mtekaji muuaji mnufaika wa wizi wa Rostam Aziz utamshauri nani apuuze Polepole wakati yeye ndiyo mpigania HakiPolepole ni jibwa koko linalobweka bila madhara. Apuuzwe
Hao million kumi zaidi umewazaa wewe?Wewe na nani?..kuna watz 70m
Wajinga na wapumbavu tu hao.Wewe na nani?..kuna watz 70m
Una maana kwa kuwa wewe si mwanasiasa unataka mabaya ya utawala huu uyabariki kisa mabaya ya magufuli yalikuwepo? Wewe ni mpenda ligi na unapenda siasa umekumbatia Utekaji mauaji Lisu kuwekwa Gerezani kwa Shinikizo la Rostam Azizi rafiki wa kikwete , unafiki ndiyo ufanye watanzania wakose fursa za kujua madhambi yenu ya sasa? Wewe ni mnufaika wa matendo maovu ya sasa ndiyo maana unamwandama polepole badala ya kukataa kukemea maovu ya sasaMimi sio mwanasiasa na wala sijuhusishi na siasa ila nacho taka kusema ni kwamba huyu bwana mdogo polepole ni mnafiki sanaaaa maana hakuna utawala uliotesa watanzania kama utawala wa Magufuli. Na huyu Bwana mdogo Polepole ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Jiwe.
Kama hajachukua basi muwahi, mpelekee ya chadema🤣🤣🤣🤣Ni wapi alichukua fomu ya ccm?
Mama mwenyewe sasa hivi anakuona wewe kama bwege fulani tu unayemnyima raha zake.Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Kilichopo anacho kiamini na kumpa matumaini ni kujuwa kwamba mitutu ya akina Jumanne Mulilo bado ipo inamlinda yeye na wakati wowote anaweza kuitumia kuwatisha waTanzania.Mbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
Siasa safi ulingo sawa ni kuacha kuwazuia chadema kushiriki siasa, aache kuwawekea vikwazo amwachie Lisu toka Gerezani, ajipime uwezo wake kisiasa kwa kutoa haki sawa, siyo kuwafunga chadema mdomo kuingia kwenye uchaguzi na vyama Dhaifu Dhaifu visivyo na Dira wala kujitambua ni matumizi mabaya ya pesa za umma, bora kuahirisha uchaguzi hadi mwakani wajipange upya kuliko kushiriki uchaguzi hewa na vyama maboya matupu Dunia itashangaa na haitokaa iwaelewe Tanzania kamweMama mwenyewe sasa hivi anakuona wewe kama bwege fulani tu unayemnyima raha zake.
Unadhani kumbembeleza wakati huu ndipo atakusikia baada ya kumtishia huko nyuma?
Sasa hivi inafaa nawe uwe na msimamo thabiti wa kumpinga kwa kukandamiza, siyo kulialia kama unavyoonyesha hapa.
Haya mambo siyo mzaha tena. Yeye sasa hivi yupo tayari kukutoa roho yako akifanikiwa kuweka mikono yake juu yako.
Hao wote unao mfukoni kwako?Wewe na nani?..kuna watz 70m
Nguvu ya umma wapenda Haki ni kubwa kuliko wabeba mitutu ambao nao ni binadamu wana hisia zao moyoni na wengi hawapendi kuwatesa chadema ingawa wanashinikizwa kufanya hivyo , siku utokee mungu kaamua Haki itamalaki wenye mitutu watakaa kimya kama Sudan ndipo laana zitawandama watesi na mapinduzi ya haki kushinda mabaya ya sasaKilichopo anacho kiamini na kumpa matumaini ni kujuwa kwamba mitutu ya akina Jumanne Mulilo bado ipo inamlinda yeye na wakati wowote anaweza kuitumia kuwatisha waTanzania.
Ikibainika kwamba mitutu hiyo nayo sasa imeingiwa na mashaka; huyu Samia na Genge lake huwasikii tena.
Sasa kazi ni namna ya kuizima hii mitutu ya bunduki iliyo elekezwa vichwani kwa waTanzania.. Huyu hana nguvu nyingine yoyote ya kumbakisha madarakani bila ya kuitegemea hiyo mitutu.
Hilo Genge linalomzunguka lipo kwa kujuwa bado wanazo bunduki upande wao
uchaguzi ukiwa huru na haki ccm hawatoboi hata robo kwani wananchi wamechoka na ngonjera zao wanasaka upenyo wa kuwaadhibu na sanduku la kuraHao wote unao mfukoni kwako?
Mbona baadhi ya hao ni wakristo ambao wewe hutambui kuwa nao wanayo haki ya kuchagua kiongozi wanayemtaka bila kulazimshwa awe ni huyo huyo Samia?
Hii akili yako inafanya kazi vizuri kweli? Ni kama unajisahaulisha kuhusu msimamo wako unaofahamika vyema humu JF!
Huo mbwa kwisha hbr yake, ataishi km nguchiro na mkimbiziPolepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.