Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Mabeyo alicheza kama Pele kuhakikisha Samia anaingia ikulu, lipo kundi kubwa la wapumbavu wa aina ya huyu jamaa walitaka kumchezea rafu siku zile baada ya JPM kuaga dunia.Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Hizi video ni katika zile hatua za kifo cha kuku kwamba miguu lazima aitupetupe hewani akiwa anapaparika kabla roho haijamtoka. Kaamua kuzianika sura zake halisi.
Pia kukatwa majina ya Ummy na Makamba kule Tanga kutaleta aina nyingine ya siasa kama hizi za huyu mpuuzi, bado tutaziona video na nyuzi mbalimbali zenye ujumbe sawa na ule unaotoka kwa Mange Kimambi.
Samia timiza majukumu ya kitaifa hawa wapuuzi hawana chochote wanachoweza kukifanya kikaharibu amani ya TZ.