GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HP yeye Kesho CCM wakisema mama hagombei mchakato unarudi tena mezani na anashinda mgombea amtakaye basi CCM ni nzuri inaweza kuendelea na mambo yake na kitu kinaitwa NRNE sio issue tena kwake.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Na hapa ndiyo pana shida. Samia kachukiza hata kwa CCM wenzake. Hii haimaanishi wanataka reform. Kukiwa na mgombea wamtakaye watataka katiba hii hii tuliyonayo.
 
Mbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
Fanya kazi mkuu, jiendeleze kielimu jiendeleze kimaarifa utatoboa tu. Hizi tabia za kutisha watawala utaishia kuishi kwa kinyongo na kuwatakia wengine wapatwe na mabaya, unapoteza muda na usipokuwa mwangalifu utapata presha na stroke ukiwa bado kijana mbichi.
 
Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.

tushakiuchoka nawewe polepole huna jipya ulisema una maneno magumiu na gwajima wako kumbe mdebwedo tu ccm inasonga mbele huna chako subiri aapishwe ili uwe mkimbizi wa kudumu kwa miaka mitano akikukamata tu umwekwisha utahenya
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Chawa kabla hujajibu tafiti kidogo, kama angetakiwa unadhani angegombea kupitia dirishani?
Si wewe uliekuwa unarudia rudia kwamba Rais Samia hatagombea?Leo unajifaragua eti hatakiwi?Mshukuru Mbowe aliyekutoa Uingereza ungekuwa bado unaosha matako ya vizee vya kizungu.
 
Ndio umeandika nini?Mwalimu wako alikuwa analipwa mshahara wa bure au wewe ndio sawa na kumfundisha fisi kupanda mti?
MXiuu wako alikuwa kiziwi na kipofu hajaona hunaga akili alikuwa anakuweka tu
 
MXiuu wako alikuwa kiziwi na kipofu hajaona hunaga akili alikuwa anakuweka tu
Ndio umejitahidi kuandika?Maskini ya Mungu. Pole. Kama una muda rudi shule.Hapo Airport ya Arusha unaosha vyoo.
 
Ndio umeandika nini?Mwalimu wako alikuwa analipwa mshahara wa bure au wewe ndio sawa na kumfundisha fisi kupanda mti?
Laana toka kwa Tundu lisu na chadema kwenda kwa ibilisi wa ccm ni kubwa mno, chochote chaweza kutokea mungu hapendi manyanyaso utekaji mauaji ya ccm
 
sema stress zingine tunajitaftiaga tu wewe ata ukiumia vp hubadilishi chochote bora nile zangu supu ya nguruwe nkisubiri kuwaona mnavopambania kutekwa
 
Polepole aseme Maza hatakiwi na kina nani?,isije ikawa ni kundi dogo la male chauvinist wasiomkubali mwanamke,tena akiwa Muislamu ndio kabisa! kwa Wakristu hata angekuwa ni Bikira Maria mwenyewe,ni Wakatoliki tuu kamwe hawakubali rais mwanamke!mara novena,mara waraka, Polepole atoke aseme ni kina nani hawamtaki Mama,wakati kila kona ni mama mama!。 Sema no to male chauvinism!。

Namhurumia sana Polepole,its too little too late lori la contena la uchaguzi la twende na mama, mitano tena, tayari liko mwendo kasi kwenye mteremko,there is no turning back and no one can stop it now isipokuwa YEYE!GE2025 - Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!
P

Why are you like this ? Binadamu wananuance lakini kwanini unashindwa kuchagua upande ? Kwanini hauna msimamo ? Unaonekana unaenda upepo unapokupeleka.

Wanawake sio malaika, na sisi hukosea pia, na kukosoa mwanamke sio kumchukia kama kumkosoa mwanaume sio kuchukia wanaume.

Kama Polepole anavyosema ni ukweli, kuwa kuna genge limemshikilia Mweshimiwa Rais...
Historcially and statistically speaking, women do not get the same treatment men do, mwanamke ukipata bahati mbaya ukakosea na ukafanya mambo wanaume wanayofanyaga na ukafikiri na wewe unaweza kutoka scot-free kama male predecessors, it is a huge mistake, but to each his own, one of life's greatest privileges is that we get to choose the path we take.

Whether unasingiziwa au umevifanya, there are always double standards. Na ndio maana wanawake wengi kama Ellen Johnson Sirleaf (Liberia) hujitahidi kuwa above board kwenye kila kitu kwasababu unapaswa kujua watu wanakusubiri uanguke, kwa hiyo ukijiruhusu uteleze, ndio kabisa unawapa wanachokitaka kirahisi.

Dilma Rousseff (Brazil)
Park Guen-hye (South Korea)
Sheikh Hasina (Bangladesh)
Isabel Perón (Argentina)
Cristina Fernández de Kirchner (Argentina)

“Back to the Kitchen”: Corruption Charges Against Women Heads of Government​

Madison Schramm, Alexandra Stark, and Loriana Crasnic

“Back to the Kitchen”: Corruption Charges Against Women Heads of Government | Canadian Journal of Political Science/Revue canadienne de science politique | Cambridge Core

While much of the scholarship on gender and corruption suggests that women in political office are, or are perceived to be, less corrupt than men, in just the past few years corruption accusations against Brazil's Dilma Rousseff and South Korea's Park Geun-hye have made headlines and led to their impeachment. In this article, we argue women heads of government are actually more likely to be charged with corruption due to pervasive beliefs that women, by their very presence, corrupt public office. Using cross-national data, we first demonstrate that women executives are significantly more likely to be formally accused of corruption than their male counterparts. We then present case studies of Brazilian President Rousseff and Turkish Prime Minister Çiller to demonstrate the powerful role of gendered discourse in motivating suspicion and inflaming elite and public sentiment and thereby driving corruption charges. These findings make a substantial contribution to the literature on gender, leadership and the politics of corruption.
 
Fanya kazi mkuu, jiendeleze kielimu jiendeleze kimaarifa utatoboa tu. Hizi tabia za kutisha watawala utaishia kuishi kwa kinyongo na kuwatakia wengine wapatwe na mabaya, unapoteza muda na usipokuwa mwangalifu utapata presha na stroke ukiwa bado kijana mbichi.
Nijiendeleze kwa elimu ipi ambayo wewe unayo?
 
Hatakiwi wala hapendwi Ndio maana anaogopa mchakato utakaompambanisha na wana ccm wengine!!
Huyu Bibi hajawahi kuchaguliwa yeye pekee kama mgombea hivyo Ndio maana anataka aende Ikulu kwa njia ya chochoro! Usishupaze shingo ondoka!
Subri uone USHINDI WA kishindo kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan OCTOBER
 
Back
Top Bottom