GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
ipo wazi sana hakika msagaji wa taifa hatoboi very soon parapanda inalia
 
Ungekua wewe ungeachia?
Huyu bibi ingekuwa amri yake angeisha achia ngazi lakini kuna hilo kundi la Kikwete wanaofaidika na udhaifu wa uongozi wa huyu mama ndio wanamshikilia asiondoke na ndio hao Samia anawaita” Boss” wake..
Bibi Kizimkazi ni mfungwa wa wana mtandaoni pale yupo kama sanamu tu Wao ndio watawala wa hii nchi ; yule mama ni mateka.. The state has been captured!😂😂
 
Hakuna kupumzika, maendeleo yaliyofanyika my aka minne ni miujiza na chachu tayari ya mlipuko wa maendeleo Tanzania.
Mama hata hajaanza miaka yake 10 eti mgonjwa Polepole anataka apumzike.
Hii miaka minne ilikua ni ya mapito toka msiba wa hayati Magufuli .
Kwa hiyo mama anaaza rasmi 2025 mpaka 2035 atakapo kua kaifikisha Tz mbali.
 
Nani alifanya utafiti akapata hizo data?. Usisikilize maneno ya vijiweni na watu muflis, kila kona ya nchi ni Mama Mama mitano tena!

Tusiandikie mate na wino upo, subiria 29 October, utaniambia.
P
Uchaguzi wa Tanzania ambao polisi wanakimbia na masanduku ya kura. Mbona outcome inajulikana.....Naongelea uchaguzi wa haki....yaani kura moja mtu moja, siyo kura za maruhani.
 
Samia ni muuaji. Huyo mama ni aibu kuwa rais ya nchi ya wastaarabu. Mwanamke mwenye watoto, anafurahia watu kubakwa na kulawitiwa, kutekwa, kuteswa na kuuawa bila hata wazazi kuona makaburi ya watoto wao. Rais muuaji anajifanya mswalihina.....Mhuni asiyefaa. Ninyi JF mnamtetea huyo mama muuaji.
 
Back
Top Bottom