Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team Obama na pia wakose wote.
Lakin pia Isingekuwa tatizo kwa biden kuachia madaraka kwa matatizo yake ya afya lakini alitegemea mchakato mzima umpe heshima yake, kilichotokea Biden alianza kupuuzwa, Obama alikuwa na ushawishi mkubwa kumzidi