Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Alifanya hivyo kwa kuwa hakuwa na namna sababu Biden alishawazidi kete kwa kufanya endorsement ya Kamala punde tuu baada ya kujiengua,kama asingefanya hivyo wakina Obama wangemuweka mtu wao wamtakae wao.Kwamba Obama hakutaka mwanamke agombee wakati alikua analaumu wanaume wa weusi kutomuunga mkono kamala!!