Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump

Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu.

Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati Biden na wagombea urais wengine huwa wanaipata nafasi hio kwa kuchuana na wanachama wenzao kisha kura hupigiwa mshindi hukiwakilisha chama

View attachment 3147464
Biden ndio atabeba lawama na Obama wake.

By the way Democrats Ina wanawake wengi wenye Nguvu na mojawapo ni huyu hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCIxJDLCa72/?igsh=MWpmcW95c2hvcnE2aA==
 
Alishinda popular vote na alipoteza florida kwa kura Mia kadhaa tu otherwise angekua Rais. Mambo ya ushoga au jinsia sio issue sana US ndio maana Obama aliunga mkono na alishinda same to Biden. Ila hayo yakitokea huku bado uchumi unasuasua lazima tu uanguke kwenye sanduku. Kiufupi uchumi ndio concern ya kwanza hayo mengine hayaamui uchaguzi
I know that bro; was trying to explain to that dude above; kwamba Democratic miaka yote wao hayo mambo wana ruhusu so is not something strange kwa Biden/Kamala kuyaweka kwenye vipaumbele vyao; again kuna kingine kinanitatiza miaka ya hivi karibuni. Kwa zaidi ya miaka 25 sasa; Democratic ndio wanaiachaga vizuri sana USA kiuchumi, mfano wa karibuni ni hu wa Bush Jr na Obama, Bush aliiacha USA kwenye hali mbaya sana kiuchumi, ilipelekea ma bank kadhaa kufirisika, kampuni kubwa la magari la GMC halikadhalika, Clinton na Obama wali iacha vizuri sana kiuchumi Marekani; what's happening now with Democratic?
 
Alimchagua Kamala mwenyewe lakini Kushindwa Kwa Kamala kumemfurahisha eti wakose wote,hovyo kabisa.

Anatakiwa kujua kwamba Kamala Bado umri unamruhusu na hata yeye alikuwa Rais Kwa mgongo wa Obama Sasa inakuaje anakuwa na nongwa? Kwa kupoteza kumbukumbu kwake angewezaje Kuongoza?
Kiongozi unamvamia mwamba Biden kwa tetesi za jf ya bongo, KWELI?!!!!!
 
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump

Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu.

Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati Biden na wagombea urais wengine huwa wanaipata nafasi hio kwa kuchuana na wanachama wenzao kisha kura hupigiwa mshindi hukiwakilisha chama

View attachment 3147464
Ila aliyempendekeza Kamala kugombea hiyo nafasi ni huyu huyu Babu Joe....
 
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe,na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume,Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team Obama na pia wakose wote. Hii ni kwa mujibu wa afisa wa zamani wa White House chini ya Biden.
Hii ina make sense
 
Obama kweli ni real African mtu ulishawahi kuwa Rais wa nchi kama US lakini unang'an'gana na siasa kama ruba, wazake wazungu mda wao ukiisha wa uongozi wanaenda kulea wajukuu na wala huwasikii kwenye media wakileta majungu kuhusu vyama vingine badala yake wanakuwa washauri tu.
 
Hahaha Trump anawashinda wanawake tu, hana ubavu kushindana na Wanaume.
Afadhari hata wa awake hu a wanajaribu kupambana na trump wanaume Huwa wanatetemeka na kukimbia wakimuona Trump mfano Biden nenda kamuulize Nini kilimfanya amkimbie trump.
 
Back
Top Bottom