Robot hilo.Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu.
Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati Biden na wagombea urais wengine huwa wanaipata nafasi hio kwa kuchuana na wanachama wenzao kisha kura hupigiwa mshindi hukiwakilisha chama
View attachment 3147464
Mbona Trump alifyatuliwa rusasi mara mbili.Anafurahi uchhaguzi umeisha salama. Ingekuwa africa virungu, maji washa, lisasi za kuwasha macho, lakini hawa jamaa hakuna upuuzi huo. Hakuna kukata majina wapinzani wala kuwazuia mikutano. Huko ni fair play tu.....ccm oyeee na people's power oyeeee.
😂😂😂😂Bado una mchukia The Don mpaka leo?Hahaha Trump anawashinda wanawake tu, hana ubavu kushindana na Wanaume.
Hahaha Trump anawashinda wanawake tu, hana ubavu kushindana na Wanaume.
Hao ni Iran na China nyuma ya paziaMbona Trump alifyatuliwa rusasi mara mbili.
Unaona alivyokusanya familia nzima kuja kwenye campaign, nadhani atajifunza kukaa pembeni kama wenzake wakina BushIla obama daah angepumzika siasa. Kajishusha sana
Tanganyika tuna intelijensia kali mno. Kali sana.Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe,na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume,Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team Obama na pia wakose wote. Hii ni kwa mujibu wa afisa wa zamani wa White House chini ya Biden.
Nyuma ya pazia ni CIASiwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu.
Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati Biden na wagombea urais wengine huwa wanaipata nafasi hio kwa kuchuana na wanachama wenzao kisha kura hupigiwa mshindi hukiwakilisha chama
View attachment 3147464
Alimchagua Kamala mwenyewe lakini Kushindwa Kwa Kamala kumemfurahisha eti wakose wote,hovyo kabisa.Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Biden alienguliwa kikatili sana bila heshima, Nyuma ya pazia ni Obama alisuka kila kitu.
Kamala alichukua nafasi ya kukiwakilisha chama cha Democrats kienyeji sana, alipitishwa kwenye kikao cha mtandaoni (zoom) wakati Biden na wagombea urais wengine huwa wanaipata nafasi hio kwa kuchuana na wanachama wenzao kisha kura hupigiwa mshindi hukiwakilisha chama
View attachment 3147464
Lakini kashindaHahaha Trump anawashinda wanawake tu, hana ubavu kushindana na Wanaume.
huwezi kujifungia ikulu kisha ukategemea kushinda uchaguzi na ndio maana kamama kakashinda New York na kule kwingineko kwa watoaji mimba na ndoa za jinsia moja pekee 🐒Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump