Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Mwanamke akikugeuka anakuwa amakuharibia Line yoote ya maisha...lakini kwa historia hii huanda tu hizo messeji zilikuwa ni Teasing tu za kutiana nyege maana mke hawezi kukaa miaka hiyo bila vistori vya hapa na pale vya kuchemsha ubongo. Hata sisi wanaume huwa tuna fanya na hata kama hatujachepuka.
 
Wanaume huwa hatujui kuwasanehe wanawake wasaliti ndio maana jamaa anataka tu kuforce hisia ila akili inakataa

Peace of mind ni bora kuliko kuishi na msaliti. Huyo mwanamke hawezi kuwa na upendo naye kama zamani. Shida yote ya nini ampige chini

Mwambie akiamua kumsamehe basi asije tena kulalamika akisalitiwa. Kikawaida mwanamke msaliti huwa haachi tabia yake

Atumie akili na sio hisia kwenye maamuzi magumu kama hayo
 
Kama kweli mwanamke amekiri na kuomba msamaha amsamehe tu,maisha yaendelee. Akirudia tena sasa hapo hapana.
 
Binafsi mwanamke akishachepuka na nikathibitisha ndo anasepa hivyo!, tena nikimuona barabarani nampiga mawe!
 
Uwanaume ni k
uvum
Uwanaume nikuvumilia Makubwa kama hayo na kusimamia na familia na Mkewake.Faida hatopata sasa ni baadae Sana.Kujiskia hali mbaya ni Ya mpito tuu na ndo tabia ya Ubongo.

Huu ndo Muda wa kumpenda mkeo Kwa dhati na kumsamehe.
 
Shukrani mkuu nitaongea nae.

Binafsi naona yeye ndio muhimu sana Kwa maelezo yako ya Kwanza sababu yeye ndio mtafuta hela Kwajili ya watoto wake.
 
Upendo upo Kwa Mama yako aliyekuzaa Tu. Huu upendo Kwa wanawake zetu ni upendo wa Mali Tu.Sidhani wanawake wa Sasa wanapenda wanaume ambao Ni apeche alolo
 
Uwanaume ni k

uvum

Uwanaume nikuvumilia Makubwa kama hayo na kusimamia na familia na Mkewake.Faida hatopata sasa ni baadae Sana.Kujiskia hali mbaya ni Ya mpito tuu na ndo tabia ya Ubongo.

Huu ndo Muda wa kumpenda mkeo Kwa dhati na kumsamehe.
Jamaa aendelee kuumia kwahiyo
 
Kataa ndo
afukuze tu huyo msaliti
 


Tukiwaambia msioe HAMUELEWI.
Acha liwakute.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wa kaskazini ndo wana sera za kuitisha vikao vya pande mbili kukaa kusuluhusha
 
Mpe pole Sana mchizi wako mwambie hakuna upendo hapo cha msingi afikirie ni namna gani atawatunza watoto wake.Na Kwa Sasa atafute hela Kwajili ya watoto wake tu na sio mke tena kwa upande wake.Ni ngumu kumuacha mwanamke unayempenda lakini wakati mwingine inabidi iwe hivyo tu.
Maumivu ya kusalitiwa yanauma sana.

Natafuta Ajira
Xi Jinping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…