Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Mnachopaswa kujua na sisi ni binadamu vishawishi vipo, mbona nyie mnachepuka sana tu huku mkisingizia nature,hamuwezi kudumu na mtu 1, na sisi ni watu tuna mioyo kuteleza kupo. Siyo vizuri ndiyo ila kusamehemana kupo
uko wapi we dada..?????
 
Ulivyomuacha kipindi chote hicho ulijua umeoa mgomba sio!!

Hebu tuliza wenge mlee watoto wenu, mambo ya kawaida kabisa hayo.
Wee ni Me au Ke?
 
Mnachopaswa kujua na sisi ni binadamu vishawishi vipo, mbona nyie mnachepuka sana tu huku mkisingizia nature,hamuwezi kudumu na mtu 1, na sisi ni watu tuna mioyo kuteleza kupo. Siyo vizuri ndiyo ila kusamehemana kupo
Ndio mana mnafanya kama malipizo
 
nashauri amuache. na kama mwanamke mzuri nipasie namba niendelee alipoishia jamaa
 
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili, imeandikwa.....🌚
 
Pole sana mkuu.. Japo umetumia lugha wanayotumiaga wengi kwamba unamwombea ushauri jamaa yako😄 ila wenye D mbili washa elewa.
Ngoja waje wakushauri
 
Mapenzi ni kitu kidogo sana lakini mnayakuza tu
 
Mchane makavu,...huo upumbavu wa kupekua simu za wapenzi au wake zenu utakuja kuwaua kipuuzi,...
 
Pole sana mkuu.. Japo umetumia lugha wanayotumiaga wengi kwamba unamwombea ushauri jamaa yako😄 ila wenye D mbili washa elewa.
Ngoja waje wakushauri
Una umri wa miaka mingapi Tafadhali?
 
Tatizo dogo sana hilo, atafute naye mchepuko amalize hizo hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…