Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Kuna Uzi wangu wa kitomsamehe mwenza,nikiweka picha zitazosaidia kitomsamehe kila ukizikimbuka,na nikasema pia Kuna kipindi ilitoka nje yeye mkeo ndiye aliyeirudisha ndani harakaharaka
 
yeye nae apekuliwe simu yake
Pia ,hakuwa mnyama kwamba unuswe mkojo apandwe
 
Idiot!!!!!
 
Upendo upo Kwa Mama yako aliyekuzaa Tu. Huu upendo Kwa wanawake zetu ni upendo wa Mali Tu.Sidhani wanawake wa Sasa wanapenda wanaume ambao Ni apeche alolo
Unajua kosa la jamaa ni kumsamehe pale mwanzoni alipoona meseji akiwasiliama na mwanaume mwingine pale ndio palikuwa pa kufanya maamuzi.

Kamsamehe mke wake akarudia tena ndio maana ukweli ni kwamba hautakiwi kabisa kumsamehe mwanamke msaliti lazima akusaliti tena
na tena
 
Usaliti mbaya sana kaka
 
Ndo umemsahuri hivyo?
Yeye kaja hapa home kwangu kaniambia ndugu yangu Sina maamuzi mengine zaidi ya kumuacha shemeji yako aendelee Na Maisha yake.

Sasa Kuna nini hapo Na yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho mkuu.
 
Yeye kaja hapa home kwangu kaniambia ndugu yangu Sina maamuzi mengine zaidi ya kumuacha shemeji yako aendelee Na Maisha yake.

Sasa Kuna nini hapo Na yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho mkuu.


Mwambie asikilize intuition yake zaidi na sio msukumo wa nje

Sauti yake ya ndani ikimwambia apige chini mwambie apige chini kweli
 
Pole sana kwake "moyo sukuma damu si kingine" Ditto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…