Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Chuki ni hasira iliyokomaa.
Hasira ina Target mtu au kitu Hadi ukiharibu ili kuondoa nguvu hasi iliyoko ndani yako ndipo amani itakuja.

Temana nae.
 
Jamaa yako bado mtoto,amechapiwa mkewe vikao vya familia vya nini?.
Vikao vya familia havijawahi kuwa suluhisho la usaliti kwa mwanaume anayejitambua.
Watoto wadogo unashindwa kumuacha malaya?
Utakufa kwa stress,mkeo ataendelea kuchapwa na masela na watoto watakua na kuwa wanajamii.
Mwambie rafikio aache upumbavu,mwanamke malaya hasamehewi.
 
Hakika ndugu yetu tunamuokoa na hili jambo
 
Nin
 
Vijana wa Kitanzania waliopo italy wengi wanajishughulisha na viashara ya dawa za kulevya au wizi. Kama unafanya haramu, elewa kila kitu chakoi kinakwenda kiharamu.

kama huyo kijana yupo kwenye biashara haramu, ndiyo hana ujanja wa kumfanya lolote huyo mwanamke. Mwanamke atakuwa ana siri zake zote, mwache akae Tanzania, wewwe fanya boashara haramu umtumie pesa yeye ale na bata na mabwana zake.

Kiijana wewe baki Italy ushangilie, sasa omba na picha kabisa za mkeo kuliwa, si unaona raha? mambo ya kizungu?
 
Never forgive a woman who cheated you, hata biblia imetoa room ya kumpiga chini mwanamke mzinifu.

Ukikubali kumsamehe ukubaliane na utakayokutana nayo huko mbeleni hizo excuse sijui nina watoto wadogo ni ujinga mtupu kwani huyo mwanamke akifa hao watoto wadogo utawapeleka wapi?? Tumia akili.

Wanaume tuwe na akili na tumeambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Pole yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…