Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Hilo sio jambo la kupingwa na kushangaza kuna baadhi ya wanawake hata kama ni mama zetu hawajui kupika kabisa.mfn mama yangu mm nifundi wa kupika ila dada zangu hakuna mfumo na wameolewa tyr nao ni mama.
Kabisa siyo jambo la kuishangaza. Si kweli kwamba kuwa mzazi kunakufanya automatically ujue kupika, na nasema pia kama mzazi wa watoto wa kiume.
 
Code imezingatiwa...

Mjomba dot com amejua kukupanga, nawe umepangika. Mambo murua kabisa.
 

Hiyo ni aina flani hiv ya "pain kiler" si umesema ulikuwa na homa kidogo.Hopeful umepata ka-relief,no?
 
He is a simp hamna mtu anayejua chakula kizuri kuliko mama yake mzazi kwaiyo usijichukulie matawi ya juu your just dating a simp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…