Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Kwanii baada ya kukwamwambia hivyo ulimnyima ze aza food...naamini ulimsaidia kupakua pia 😅
 
Hamna,kawaida tu muda mwingine tunajutia kufanya ujinga huko nje.

Afu mpango wa kando hauna shukrani.
Tunaona aaah yanini bora nilifurahishe ua langu hapa nyumbani kuliko lile la kule
 
Hamna,kawaida tu muda mwingine tunajutia kufanya ujinga huko nje.

Afu mpango wa kando hauna shukrani.
Tunaona aaah yanini bora nilifurahishe ua langu hapa nyumbani kuliko lile la kule
Hapo sawa, basi tunafurahi mkijirudi wenyewe
 
Ndio manake ni vile tu hatuwezi sema kuwa unajua nimeona kule kwa mchepuko sijui ninii….

Tunakaa sawa weee alafu tunarudi tena kwa mchepuko si unajua hawala haachwi eeeh
Nilikua sijui, kumbe hawara haachwi.
So huwa mnaona madudu yao halafu mnawapa mapumziko tu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…