Acha tufikirie, haikuhusu. Kila mtu afikirie anachoona kinamfaa haijalishi kinatoka wapi.Hadithi za kufikirika hizi, mzungu huko vichwani kawaacha watupu kabisa kama waumini wa Gwajima wanaosubiri safari ya Birmingham
Tulia acha maneno mingi, za kupewa changanya na zakoAcha tufikirie, haikuhusu. Kila mtu afikirie anachoona kinamfaa haijalishi kinatoka wapi.
Hizo nguo ulizovaa na simu unayotumia bila kusahau herufi unazochapa umeachiwa na mzungu.
Rudi kuvaa magome ya miti na ngozi za wanyama kama unajihisi upo kiwango cha chini kwa wazungu.😎
Hujaelewa nini hapo akishakula ameshiba anakupandisha kitandani anakula tena mzigo sasa chakula kitamu anachozungumzia ni hicho cha kitandani sio cha mezani wewe wa wapi? Umepita kitchen party ukaelezwa mumeo akisema hivi anamaanisha hivi au ndio mmezoana tu mnaishi uchumba sugu? Mnazalishana tu bila ndoa bila nini?atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote
Tusipangiane, tulia mwenyewe ikiwa inakupendeza.Tulia acha maneno mingi, za kupewa changanya na zako
Kweli wewe ni negative 10🤣.Hujaelewa nini hapo akishakula ameshiba anakupandisha kitandani anakula tena mzigo sasa chakula kitamu anachozungumzia ni hicho cha kitandani sio cha mezani wewe wa wapi? Umepita kitchen party ukaelezwa mumeo akisema hivi anamaanisha hivi au ndio mmezoana tu mnaishi uchumba sugu? Mnazalishana tu bila ndoa bila nini?
Kusema mke wako anapika vizuri kuliko mama yako ni kumsema vibaya mama yako? Logic ya kawaida kabisa inaonyesha kuwa mama ambaye amezaa kijana mwenye umri wa kuoa mara nyingi hawezi kufikia mapishi ya msichana wa kisasa, mwenye kila access za kisasa kuhusu mapishi. Ukifananisha wapishi wawili ni lazima kuna mmoja atamzidi mwenzake na hii hainyoshi kuwa yule aliyezidiwa hajui kupika au umemdhalilisha. Mama yake anaweza kujua kupika sana lakini mkwewe akawa anajua sana sana. Hili hutokea hata mimi ex wangu alikuwa anajua kupika kuliko mama yangu.Unadanganywa hakuna mwanaume anaweza msema mama yake vibaya
Ni kweli kabisa unachokisema ila hapo nimemaanisha ni nadra mno mtu kumlinganisha mama yake na mwanamke mwingine kwa lengo la kuzidiwa kitu fulani , mara nyingi haitokei kwa mtu anae jitambua hata kama mama kazidiwa kweli.Kusema mke wako anapika vizuri kuliko mama yako ni kumsema vibaya mama yako? Logic ya kawaida kabisa inaonyesha kuwa mama ambaye amezaa kijana mwenye umri wa kuoa mara nyingi hawezi kufikia mapishi ya msichana wa kisasa, mwenye kila access za kisasa kuhusu mapishi. Ukifananisha wapishi wawili ni lazima kuna mmoja atamzidi mwenzake na hii hainyoshi kuwa yule aliyezidiwa hajui kupika au umemdhalilisha. Mama yake anaweza kujua kupika sana lakini mkwewe akawa anajua sana sana. Hili hutokea hata mimi ex wangu alikuwa anajua kupika kuliko mama yangu.
Kwa hiyo wewe ndiyo mshangazi?? Mbona kama msichana anayelekea kuvunja ungo??Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.
Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.
Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.
View attachment 3315402
Mh.... sikubaliani na wewe hata kidogo. Kuna vitu vingi tu huwezi kufananisha lakini upishi siyo mojawapo. Kwanza hili unampa compliment mke wako na wala mama yako hayupo. Mnachoongea kinaishia hapo hapo. Ingekuwa umewaita wawili na kumzodoa mama yako kuwa hajui kupika kama mke wako, hapo ingekuwa ni vibaya.Ni kweli kabisa unachokisema ila hapo nimemaanisha ni nadra mno mtu kumlinganisha mama yake na mwanamke mwingine kwa lengo la kuzidiwa kitu fulani , mara nyingi haitokei kwa mtu anae jitambua hata kama mama kazidiwa kweli.
Nimemuuliza yeye maana huko kwenye kitchen party ndivyo wanavyofunzwa jinsi ya kumpanulia mume mapaja vizuriKweli wewe ni negative 10🤣.
Umehudhuria kitchen party ngapi mkuu ukasikia wanaongelea hivyo vyakula? Na nikisiliza sauti yako nasikia sauti ya dume, tena sio kidume ni dume
Nakuelewa vizuri tu ila ufanye hivyo kwa kutazama busara ya mkeo , hawa watoto wa 2000 ukifanya hivyo ipo siku atayasema hivyo kwa shari pale panatokea kutoelewana kati yake na mama yako .Mh.... sikubaliani na wewe hata kidogo. Kuna vitu vingi tu huwezi kufananisha lakini upishi siyo mojawapo. Kwanza hili unampa compliment mke wako na wala mama yako hayupo. Mnachoongea kinaishia hapo hapo. Ingekuwa umewaita wawili na kumzodoa mama yako kuwa hajui kupika kama mke wako, hapo ingekuwa ni vibaya.
Hilo sasa ni jambo jingine. Kama mtu alioa mwanamke mwenye wenge basi inabidi achukuwe tahadhari kulingana na ukubwa wa wenge la mke wake lakini kanuni isipindishwe kwa sababu tu kuna baadhi ya vitoto vya 2000 vina wenge.Nakuelewa vizuri tu ila ufanye hivyo kwa kutazama busara ya mkeo , hawa watoto wa 2000 ukifanya hivyo ipo siku atayasema hivyo kwa shari pale panatokea kutoelewana kati yake na mama yako .
Sifa pekee ya mkeo ni kukupa nyuchi kitandani kitu ambacho mama yako hawezi kufanya hayo mengine ni upuuzi tuNakuelewa vizuri tu ila ufanye hivyo kwa kutazama busara ya mkeo , hawa watoto wa 2000 ukifanya hivyo ipo siku atayasema hivyo kwa shari pale panatokea kutoelewana kati yake na mama yako .
Ni ngumu mno Wanawake wawili kumpenda mtu mmoja na wakaelewana , apo inabidi mmoja atumie busara yake vizuri na ni nadra mno wote watumie japo hutokea.Hilo sasa ni jambo jingine. Kama mtu alioa mwanamke mwenye wenge basi inabidi achukuwe tahadhari kulingana na ukubwa wa wenge la mke wake lakini kanuni isipindishwe kwa sababu tu kuna baadhi ya vitoto vya 2000 vina wenge.
Sifa pekee ya mama yangu nikunibeba miezi 9 tumboni na kunilea toka nikiwa mdogo ambapo hakuna wanawake mwingine anaweza fanya , kitu ambacho kupewa uchi naweza pata hata kwa wanawake milioni na zaidi.Sifa pekee ya mkeo ni kukupa nyuchi kitandani kitu ambacho mama yako hawezi kufanya hayo mengine ni upuuzi tu
Mh... Kama umeshaoa au kuna ndugu yenu kaoa, basi nadhani mlipata mke fyatu sana ndiyo maana amekuvuruga sana mtizamo wako juu ya wanawake. Au mama yenu ni ana tabia ngumu kwa wakwe zake. Upendo wa mtoto wa kiume kwa mama ni tofauti na kwa mke wake. Hawawezi kushindana kwa sababu upendo wao ni tofauti.Ni ngumu mno Wanawake wawili kumpenda mtu mmoja na wakaelewana , apo inabidi mmoja atumie busara yake vizuri na ni nadra mno wote watumie japo hutokea.
Unachokisema kinaweza kisiwe kweli kabisa au kweli ila sio kwangu ni kwa wengine, ila kama unaweza kuwa familia na saikolojia ya mwanamke , mimi sioni kama ina afya kulinganisha chochote mama yako dhidi ya mke wako🤔Mh... Kama umeshaoa au kuna ndugu yenu kaoa, basi nadhani mlipata mke fyatu sana ndiyo maana amekuvuruga sana mtizamo wako juu ya wanawake. Au mama yenu ni ana tabia ngumu kwa wakwe zake. Upendo wa mtoto wa kiume kwa mama ni tofauti na kwa mke wake. Hawawezi kushindana kwa sababu upendo wao ni tofauti.