Kama Mama Mtanzania tuwena uhakika kuwa pindi tukihitaji msaada wa kupambana na watekaji,wauaji,mafisadi,wachakachua chaguzi msaada chap kwa haraka ama Itabidi bado kibali cha Mzee Trump?Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Wapo wahindi wa magorofa ya msajili kariakooHakuna mtanzania anaitwa patel
Uteuzi wake utatusaidia nini Watanzania?Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Trust me.Huyu anashungulika na usalama na ndani ya USA na baadhi ya balozi. Ana tija kwetu sana
Sorry, niliandika βanaβ badala βhanaβ. Nilikuwa ninamaanisha HANA tija kwetu.Trust me.
Tunajigonga sana kwa wasiotuhusu.
Katiba na taasisi imara za ndani ya nchi ndivyo vitu vya kushobokea.
Haya mengine ni kujiingiza kwenye mamikopo ya ajabu ajabu na mikataba ya hovyo
Sawa mkuuSorry, niliandika βanaβ badala βhanaβ. Nilikuwa ninamaanisha HANA tija kwetu.
Wewe nawe na Bandiko lako halina hata nyama na evidence likoliko tu wazi kama Kopo tupu lete evidence huku ni kwa Ma Great thinker siyo kwenye ma group sogozi ama ya misulupwete ya CCM tuwekee CV yake hapo tupite nayoHii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Hairusaidii kituHii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Hatuna Patel bongo bali tuna wahamiajiHii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Uzuri mzee hataki ujingq uchungu wa kuibiwa chaguzi anaujua na bahati nzuri karudi kwa kishindoTrust me.
Tunajigonga sana kwa wasiotuhusu.
Katiba na taasisi imara za ndani ya nchi ndivyo vitu vya kushobokea.
Haya mengine ni kujiingiza kwenye mamikopo ya ajabu ajabu na mikataba ya hovyo
Huyo Jo inawezekana ni ngangaripoaInatusaidia nini kama Watanzania.
Tupunguze kushoboka, tutatue changamoto zetu
Pia Rishi Sunak wazazi wake walitoka huku bongo.Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Alikuwa mnaa tu tena akili nusu.Hakuwafaa Sunaki itakuwa huyo Patel
Vifua mbele kivipi sasa?.Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Halafu hii inasaidia nini ?Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Ok!Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Mambo ya kujivunia mafanikio ya watu wengine yamepitwa na wakati,Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π
Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere π