Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kama Mama Mtanzania tuwena uhakika kuwa pindi tukihitaji msaada wa kupambana na watekaji,wauaji,mafisadi,wachakachua chaguzi msaada chap kwa haraka ama Itabidi bado kibali cha Mzee Trump?Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere 😄