Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

Chaguo ni lako mwana JF. Umuamini Mkurugenzi wa FBI ambaye amefanyiwa Vetting ya uhakiki wa taarifa zake na Usalama Wa Taifa wa Marekani au Umuamini mwanaJF mwenzako Yoda.
Muone huyu na utumwa was vetting ya marekani kwa ajili ya marekani
 
Ukitenda uovu, record inabaki, bahati mbaya inaweza kuongezwa au kupunguzwa chunvi. Ila ukweli alitekeleza mauaji. Idd Amin Dada fashist nduli hayo ni mavuno ya ukatili na uovu wake.
 
Chaguo ni lako mwana JF. Umuamini Mkurugenzi wa FBI ambaye amefanyiwa Vetting ya uhakiki wa taarifa zake na Usalama Wa Taifa wa Marekani au Umuamini mwanaJF mwenzako Yoda.
Mimi naenda na Yoda Mchambuzi nguli Kutoka Mbagala Kimbangulilo.
 
Hata kama, inafika wakati vichaa kama hao kuja ili kubadili muelekeo wa nchi. Socialism/ leftist imekuwa ikidanganya wananchi wa western huku wachache wakijinufaisha kupitia unafiki huo kwamba ni vyama vya wananchi. Shake the status quo with their islamists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…