My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Unaonaje ww ukituletea kipande cha hii taarifa kinachokosekana Mkuu,unless haimake sense kubisha wakat kuna mpk waumini wametoa ushuhuda km wahanga,km ww ni miongoni wa viongoz wa KKKT utupe za ndaniKuna zaidi ya hayo maelezo
Wapigwe vita kisa nn Mkuu,acha uvivu penda kusoma vituMnapenda sana kuipiga vita KKKT lakini ndio kwaaanza wanachanua daily
uozo kuanzia juuKwa kawaida taasisi kama KKKT huwa inafanya mambo yake kwa usahihi kulinda heshima yake. Yawezekana mpango wa kanisa ni mzuri ila watekelezaji wameenda kinyume na maadili.
Viongozi makanisa wanapend hela kuliko chochote na hiyo ndio tabia ya wakirito wote waliomo serikalini kazi ufisadi tuKanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi laki tano na sitini elfu kwa heka ambapo heka zote zilizopangwa kuuzwa ziliuzwa na baadhi ya waumini wengine hadi leo hawajawahi kupewa wala kuonyeshwa mashamba yao.
Malipo ya mauzo ya mashamba hayo yalifanyika kupitia account za kanisa hilo, kumbe ardhi inayouzwa ni mali ya Ranch za Taifa huku kanisa hilo likijua fika uhuni huo.
Katika kijiji cha Fukayose, Ranch imesema itaachia heka mia tu kwa kijiji. Kwenye kijiji cha Fukayose Ranch ina heka 3000.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Niliwahi kuipenda sana KKKT sana tuu. Ila malasusa na Genge lake kwanza walianzisha sadaka zisizo na mpangilio then wakaja kupora kiti cha mtu huku konde nimejiunga na warutheli wa africa mashariki na naendelea kumuabudu Mungu kwa furaha na uhuruNimeziona na namm nimezungumza kile ninachokijua na kukishuhudia, siwezi kuthibitisha hayo ya wengine
usitetee upuuzi, KKKT miaka ya hivi karibuni limekua kanisa la ovyo sana. Mbey washaivuruga vipande vipandeSi muumini wa kanisa hilo lakini naamini huwezi tapeliwa mpaka hapo. Umelipa 500,000 kwenye akaunti inayofahamika ya taasisi, jina la akaunti uliandika la taasisi, una bank slip ya malipo yenye mhubiri wa kupokea pesa kwa tarehe husika. Unatapeliwaje?
Kuna upande haujafanya kazi yake vizuri au kanisa ndio limetapeliwa na kwa vyovyote litawajibika kuwarejeshea pesa endapo mambo hayataenda sawa. Unaweza kuta taasisi ndio imepigwa na wahuni ingawa yawezekana walikuwa na nia nzuri tu kuelekea waumini wake
Ila ikiwa pamoja na ushahidi mlio nao kanisa limekataa kuhusika na mpango huo, hapo mtakuwa na haki ya kuilaumu taasisi ya dini kwa utapeli.
Viongozi wa kikiristo hasa afirika ni majambazi sana kwenye hela usiwatanie kabisa kizazi chao kimeenea serikalini ndicho kinacho kula kodi zetuUsharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu
Hakuna cha usahii walijua kuwa haya maeneo sio yao tu wachungaji kwa hela ni zaidi ya hatariKwa kawaida taasisi kama KKKT huwa inafanya mambo yake kwa usahihi kulinda heshima yake. Yawezekana mpango wa kanisa ni mzuri ila watekelezaji wameenda kinyume na maadili.
Hakuna mchungaji anae jitolea bali wanacholenga wizi tuYaani nilikuwa naona kanisani matangazo wasiomaliza kulipa mashamba ya bagamoyo wajitahidi
Mchungaji gani asie penda hela tena za Magumashi mpaka wamepandikiza watu wao serikalini hili wapige helaHakuna Kanisa linafanya haya, atakuwa ni muhuni Mmoja wa Kanisan, muwage mnaheshimu watu na kutosema vitu ambavyo hamna ushahidi navyo
Upenzi unakusumbua kila mchungaji akili yake inalenga kuwa pole wauminiMmh yaani kanisa kama kanisa,emu tafuta habari kwa usahihi,hakuna kitu kama hicho
Tumsikikuze Dizasta Vina na wimbo wake KANISAHakuna mchungaji anae jitolea bali wanacholenga wizi tu
Hivi upoo?!!Duuh yalikuwa fake yale mashamba na watu wameyanunua bwana
Washarika wa Ubungo tujuane kwa Mch Oscar Mlyuka
Mkuu una hasira sana na KKKT. Mimi si mmoja wao ila huoni wapuuzi ni wale wanaovumilia uhovyo wake? Angalia vizuri nilichoandikausitetee upuuzi, KKKT miaka ya hivi karibuni limekua kanisa la ovyo sana. Mbey washaivuruga vipande vipande
Na wewe umepigwa kwa hiyo?Ongeza na sinza