wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Samahani jamani. Me ni mtoto mdogo sana, nimezaliwa leo. Naomba kuuliza swali, Huyo wanaemuita MZEE ndo nani??????
Haya ndio matokeo ya uongozi dhaifu wa Samia. Nyerere alishayesema haya miaka mingi nyumaMchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.
Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.
#KitengeUpdates
View attachment 3406128
Mpaka kwenye dini!?😭😭😭Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.
Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.
#KitengeUpdates
View attachment 3406128
Wapuuzi wachache wapo kila mahaliDah noma sana waparee nini tena hiki hatujawazoea hivi mjue
Dini inapokuwa mzigo mzito kuubebaUjinga wa hali ya juu kabisa, hawa ndugu zetu wana ujinga mwingi sana. Na Mwanga uislam umetamalaki kuliko ukristo.
Mi nasema yoyote ashike nafasi popote, ila suala la kulazimisha sio sawaHata pale Musoma kuna huo mpango wa kuweka Muislamu ingawa hawaisemi waziwazi
Wakina nani ni *******?******* hawa
Q-mamaezaoWabunge ndo watunga sheria.
Wakifika 70% waislam, inatangazwa Dola La Kiislamu La Tanzania.
Halafu hawana effect yyte na maendeleo ya nchi zaidi kuandaa vikao feki utawaona na makoti yao eti ndio utendaji na wale waajitiwa wa kawaida utawaona four angle na visutuali vlivyobanaWagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Samia ni adui wa Ukristo ndiyo maana anachangamana na manabii wa uongo kina Mwamposa ambao hawa ni anti Christ.Ndiyo maana Kanisa la Gwajiboy na wafuasi wake wanapigwa mabomu lengo ni kutokomeza ukristo na kuhakikisha waislamu ndiyo wanakuwa viongozi, aisee kwa jicho la mbali udini
CcmWakina nani ni *******?
Acha mambo ya hovyo,Wagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Si kuna Nchi ilisema Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania, waliambiwa na nani?Acha mambo ya hovyo,
Uongozi wa umma au siasa sio wa kugawana kidini, hiko sio kidogo chenu Waislamu.
Ni kweli na hoja ya udini aliyeombwa ela ya mafuta ndiye aliyeanzisha, lengo lake ni kama hivi kuchafua Kwa mgongo wa dini, ila Kwa sisi wakongwe haya ni mambo tu ya kawaida Kwa wakati huu wa Uchaguzi, udini , ukabila, utajiri na umaskini, ukanda, utanganyika na uzenji ni maswala ya kawaida kutokea. Good enough Uchaguzi ukipita, kila kitu kinarudi normalYeye ni huyo aliyepiga simu au aliyepigiwa simu?
Kama ni huyo aliyepigiwa simu basi wanamuonea tu anafuata maagizo, inaonekana huyo aliyesema atatuma hela,alikuwa na nia ya kumrekodi huyo mwingine ukisikiliza vizuri maneno yake.
Ni uwezo unaowaweka hapo, sio upendeleo!Wagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!