DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Hivi sasa waislam si tumesoma? Zamani mlikuwa na propaganda kwamba waislam hawakusoma ndio maana hawapo bungeni. Unatakiwa utulie waache waislam wakaingie kwa wingi bungeni wakaitengeneze nchi
 
Bungeni inahitaji kujua kusoma na kuandika tu.
 
Ebhana kwenye suala la ubaguzi makazini mbona waislamu ni cha mtoto sana. Na wakiristo wenyewe wanajua kuwa wao ni zaidi ya ubaguzi ! Ukiwa hata na jina la kiislamu tu imekula kwako
 
Leta ushahidi
 
Waislamu ni wapumbavu kama allah wao.
Heshimu imani za watu expert wangu,wapuuzi wachache ndio ututakiniane Allah wetu

Sibariki hayo niliyoyasikia lakini kama umefuatilia kwa makini anayeombwa hela ya mafuta ndio kaanzisha hiyo mada,na kwakuwa yeye ndio mfadhili yule muombaji alikuwa anamsampoti mfadhili kwa kauli zake

Tatu,mwenye kusema kuwa watamuweka muislama akasema mbona makanisani nao wanafanya hivyo

Hapo utaona kwamba kumbe hii mifumo ipo kote kote,kwahiyo tuikemee kwa nguvu zote

Siku zote jadili mada husika usiwatukanie watu imani yao,think big
 
Ebhana kwenye suala la ubaguzi makazini mbona waislamu ni cha mtoto sana. Na wakiristo wenyewe wanajua kuwa wao ni zaidi ya ubaguzi ! Ukiwa hata na jina la kiislamu tu imekula kwako
Lkn waislam ni watu wenye huruma sana,
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Kobbazz tena.
 
Awe muislam au mkristo, wewe inakuongezea au kupunguza nini? Mnateua watu based on their religions au uwezo wao wa kuongoza? Haya ni mambo ya kijinga sana.
Ni kweli ya kijinga,ila kwa kuwa ni mchezo ulioanzishwa na kuenziwa na kundi moja,basi wacha na kundi jingine lifanye,labda kwa namna hiyo kundi lililoanzisha litajifunza kitu
 
Smartphone za Samsung hawana hiyo option mkuu, ipo kwenye simu za Tecno na Infinix. Ukitaka uwe na option ya kurekodi kwenye simu ya Samsung lazima uwe na app ya Phone Recorder.
Ila kwenye simu ndogo (viswaswadu) nyingi zinaweza kurekodi maongezi.
Sawa.
Asante kwa kuweka taarifa sahihi.
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
hao warudiwe, hii nchi wameivuruga sana hadi udini na ukanda umesharudi kwa kasi.
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Kumbe ni punguani, Sasa atoke mkristo au mpagani!
 
Ndiyo maana Kanisa la Gwajiboy na wafuasi wake wanapigwa mabomu lengo ni kutokomeza ukristo na kuhakikisha waislamu ndiyo wanakuwa viongozi, aisee kwa jicho la mbali udini
Hiyo ni hatari! Uroho wa madaraka ni mbaya sana. Wanathubutu kweli kugawa watu?
 
Back
Top Bottom