DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Upareni ndipo wanakopatikana Wasabato wengi pale Same mjini usipokuwa mmoja wao hutoboi.
Ndivyo walivyo
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Hela namnani avae aha
 
Kilakitu Cha Mama lazima iwe hivyo huwezi kwenda kinyume na Cha Mama
Labda Polepole atabadili kwa kuwathibiti Wahuni

Chama kimekorogeka sasa kweli Mzee Mwinyi kauli itadumu
We ndio mburula kwl, Polepole ndio takataka ya aina gani.
 
Yeye ni huyo aliyepiga simu au aliyepigiwa simu?
Kama ni huyo aliyepigiwa simu basi wanamuonea tu anafuata maagizo, inaonekana huyo aliyesema atatuma hela,alikuwa na nia ya kumrekodi huyo mwingine ukisikiliza vizuri maneno yake.
Hayo ni maigizo ya kuchafuana
 
Heshimu imani za watu expert wangu,wapuuzi wachache ndio ututakiniane Allah wetu

Sibariki hayo niliyoyasikia lakini kama umefuatilia kwa makini anayeombwa hela ya mafuta ndio kaanzisha hiyo mada,na kwakuwa yeye ndio mfadhili yule muombaji alikuwa anamsampoti mfadhili kwa kauli zake

Tatu,mwenye kusema kuwa watamuweka muislama akasema mbona makanisani nao wanafanya hivyo

Hapo utaona kwamba kumbe hii mifumo ipo kote kote,kwahiyo tuikemee kwa nguvu zote

Siku zote jadili mada husika usiwatukanie watu imani yao,think big
Safi Mkuu! Maana tuna ndugu wanamchanganyiko wa Dini, wengine ndugu hawana Dini kabisa!
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Kuna watu mna complicate sana, hivi inacost sh ngapi ku pretend kuwa Muislam, kama Bwana Gwajima Josephat alitupatia hadi jina lake la uislamuni, mlalamikaji anashindwa nini ?
 
Lkn waislam ni watu wenye huruma sana,
Kwa mfano Shehe Rogo wa kenya yule Ambae nilikuwa nasikia mahubir yake akisema ukiona mkristo ana kiu anakaribia kufa huyo hapaswi kupewa maji ya kunywa na muislamu kwa sababu ni kafir. Na waislamu wote mule msikitini wanaitikia "takbr" Allah Akbar(wakimaanisha Mungu wao mkubwa)

Au nikikumbuka kipindi nipo miaka Fulani nyuma kilwa tukawa tuna shida ya msosi tunaulizia maeneo yenye migahawa wenyeji wa pale wakatujibu "nendeni kule juu kipatimu (kwenye wakristo/ukristo Kwa kiasi kikubwa) Kwa makafiri wenzenu mkapate chakula,tukabaki tumeduwaa(tulikuja kugundua baadae kumbe tulikuwa tumevaa rozari shingoni)

Hiyo ndiyo huruma unayoizungumzia ya waislamu?
 
Wagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Kuna mtu aliwanyima elimu au mliogopa shule za kikristo?
Mshukuruni mkapa aliwapa kile chuo Cha Tanesco!
Huyu tuliyenaye ni kipimo Cha elimu ndogo!
 
Kwani wanaolalamika huku mitandaoni na kuleta audio clips za kuchonganisha ni Sisi Makobazi a.k.a Vibaraghashia (kamq mnavyotuita) ama nyie Wagalatia a.k.a Wanaswara a.k.a Wala Nguruwe?
basi anaye lazimika kwa dharura, bila kutamani wala kupitiliza, hakuna dhambi juu yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye kurehemu."
(Surat Al-Baqarah 2:173)
 
Back
Top Bottom