DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Upareni ndipo wanakopatikana Wasabato wengi pale Same mjini usipokuwa mmoja wao hutoboi.
Ndivyo walivyo
Unakosea sana, ni kweli upareni kuna wasabato wengi lakini huko Mwanga hakuna wasabato wengi, ni wa kuhesabu. Pia, hata hapo Same kuna madhehebu mengi tu, mbona mbuge wa same sio msabato kama unavyotala tuamini.
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Kumbe ndio tabia zenu Wakristo tuamke jamaa ni wa baguzi.
 
Nchii hii ina ujinga mwingi sana. Aliyetuletea huu mfumo wa elimu na kutiloga alishakufa kitambo bila shaka ndo maana laana inatutafuna maana hakuna wa kutengua laana hii. Yaani hadi karne hii watu wanataka kuchagua kwa misingi ya udini badala ya sifa ya mtu. Hatari kweli kweli!
 
Ndiyo maana Kanisa la Gwajiboy na wafuasi wake wanapigwa mabomu lengo ni kutokomeza ukristo na kuhakikisha waislamu ndiyo wanakuwa viongozi, aisee kwa jicho la mbali udini
5 years ago, Ulikuwa huambiliki.
Nowadays, ndio akili zako really zimekurudi.
Kila kitabu na zama zake.
 
Nchii hii ina ujinga mwingi sana. Aliyetuletea huu mfumo wa elimu na kutiloga alishakufa kitambo bila shaka ndo maana laana inatutafuna maana hakuna wa kutengua laana hii. Yaani hadi karne hii watu wanataka kuchagua kwa misingi ya udini badala ya sifa ya mtu. Hatari kweli kweli!
Fvck CCM
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
T

Nilipo waambia watu kuwa tz inahalibiwa na viongozi waislamu mkabisha ....sasa nawaoeni siri nyingine ya kimkakati nayo ni kuakikisha rais atakaye mfuatia samia lazima awe ni muislamu pia ...ndiyo maana nikawa ambia wasio waislam kuwa kwa huu upumbavu unaofanya na viongozi wa hiyo dini ya uislamu mkifanikiwa kushika uongozi basi msifanye kosa waislamu wasiruhusiwe kuwa viongozi serikalini kwa sababu awapo kwa maslai ya taifa ,kwao wazalendo ni maadui na uzalendo ni mafii
 
Wagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Waislamu mnatucheleweshea maendeleo na kuturudisha nyuma siku zote.
 
Back
Top Bottom