DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Kipatikane kwa haki basi hicho kidogo pasipokubagua wengine, lkn hata TRA, bandarini mko wachache tu
 
Hayo ndio matokeo ya kuuwa upinzani, upinzani ungekuwepo usingeweza kusikia vihoja vya namna hiyo.
 
Kipatikane kwa haki basi hicho kidogo pasipokubagua wengine, lkn hata TRA, bandarini mko wachache tu

Tuko wachache kila mahali. Nyerere alisuka mfumo Kristo, ambao uliweka Wagalatia katika kila main road ya ajira na nafasi kuu za maamuzi, Muislamu kupenya hapo ilikuwa ni mbinde mno!
 
Ukiisikiliza hii clip muulizaji ndie aliyoisambaza hii clip na huyo huyo ndio alikuwa akimuuliza kuhusu waislamu ili tu aropoke hii ni hatari kwani mnawatafuta shari waislamu kwa nguvu unauliza uliza waislamu ili upate neno uisambaze shwain
 
Smartphone za Samsung hawana hiyo option mkuu, ipo kwenye simu za Tecno na Infinix. Ukitaka uwe na option ya kurekodi kwenye simu ya Samsung lazima uwe na app ya Phone Recorder.
Ila kwenye simu ndogo (viswaswadu) nyingi zinaweza kurekodi maongezi.
Zipo simu za Samsung unaweza kurecord calls zote direct
 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.

Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.

#KitengeUpdates

View attachment 3406128
Makafiri mmebobea kwa propaganda aise, yani ukisikiliza kwa umakini hizo sauti utagundua kuwa ni Ushuzi ulojambwa na wenyewe makafiri ktk harakati zao za kuuchafua Uislam paspokujua hasali zake kama Taifa uko mbeleni itakuwaje aise.
 
Back
Top Bottom