johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
"My state has a pilot shortageMchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.
Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.
#KitengeUpdates
View attachment 3406128
In all strongest terms, we condemn any form of religious discrimination as depicted in this video clip. Religious intolerance stands in direct violation of fundamental human rights, dignity, and the principles of peaceful coexistence. Every individual has the right to worship freely, without fear of harassment, marginalization, or persecution. We call upon the relevant authorities to take swift and appropriate action to hold the perpetrators accountable and to protect communities from all forms of religious hatred and division.Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.
Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.
#KitengeUpdates
View attachment 3406128
Kwa akili yako huwezi kuona!Sijaona kashfa hapo
Ila udiniSijaona kashfa hapo
Ila udini
Waislamu ni wapumbavu kama allah wao.Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge kwenye jimbo hilo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Sauti iliyovuja inamuhusisha Mwenyekiti huyo, ikisikika akizungumza na mmoja wa watia nia, wakijadiliana umuhimu wa nafasi ya Mbunge wa jimbo, ikishikwa na mtu anayetokea kwenye dini ya uislamu.
Sauti hiyo ilisisitiza kwamba ili mchakato huo uende vizuri, lazima mgombea awe Muislamu badala ya watu wa imani nyingine.
#KitengeUpdates
View attachment 3406128
Nakufananisha Mkuu...!Ndiyo maana Kanisa la Gwajiboy na wafuasi wake wanapigwa mabomu lengo ni kutokomeza ukristo na kuhakikisha waislamu ndiyo wanakuwa viongozi, aisee kwa jicho la mbali udini
Smartphone nyingi siku hizi zinaweza kufanya hivi bila kutumia application au ujuzi wa ziada.Hivi kwa sasa muongeaji kwenye simu wa upande mmoja anaweza kumrekodi vipi muongeaji wa upande wa pili bila mwenzake kujua kuwa anarekodiwa moja kwa moja kwa kutumia simu ile ile inayotumika kwenye mazungumzo yao?
Akili wanazo sasaWagalatia huwa mnapenda sana madaraka, mmejazana sana kwenye utumishi wa umma na uongozi wa kisiasa, bado tu mna nongwa na waislamu hata kile kidogo walichonacho?. Acheni roho mbaya!
Smartphone za Samsung hawana hiyo option mkuu, ipo kwenye simu za Tecno na Infinix. Ukitaka uwe na option ya kurekodi kwenye simu ya Samsung lazima uwe na app ya Phone Recorder.Smartphone zote siku hizi zinaweza kufanya hivi bila kutumia application au ujuzi wa ziada.
Wewe uko wapi na unatumia simu gani!Hivi kwa sasa muongeaji kwenye simu wa upande mmoja anaweza kumrekodi vipi muongeaji wa upande wa pili bila mwenzake kujua kuwa anarekodiwa moja kwa moja kwa kutumia simu ile ile inayotumika kwenye mazungumzo yao?
Moshi mjini ashawahi kuwepo mbunge muislam?Ujinga wa hali ya juu kabisa, hawa ndugu zetu wana ujinga mwingi sana. Na Mwanga uislam umetamalaki kuliko ukristo.
Vipo vifaa vingi tu vya kufanya hivyo. Kumbuka enzi zile maongezi ya baadhi ya viongozi yaiivyonaswa na kupelekea kudondoshwa kisiasa k.m. Nape.Hivi kwa sasa muongeaji kwenye simu wa upande mmoja anaweza kumrekodi vipi muongeaji wa upande wa pili bila mwenzake kujua kuwa anarekodiwa moja kwa moja kwa kutumia simu ile ile inayotumika kwenye mazungumzo yao?