Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Mtaliki wa Chifupa azungumza

*Asema hakushawishiwa kumwacha mkewe
*Asema anamwachia Mungu kila kitu

Na Waandishi Wetu

MTALIKI wa Mbunge wa Viti Maalum, Amina Chifupa, Mohamed Mpakanjia, amejitokeza hadharani na kusema hakushawishiwa na mtu yoyote kumtaliki mkewe wa zamani.

Mpakanjia aliliambia gazeti hili jana kuwa uamuzi wa kumtaliki mkewe aliuchukua baada ya tafakuri binafsi na kwamba hakuna mtu yeyote aliyemshawishi kuchukua hatua hiyo.

"Ni kweli nilimuona Nchimbi (Emmanuel Nchimbi, Mwenyekiti wa UVCCM) na nilitaka tu kumueleza kuhusu uamuzi wangu na si vinginevyo. Alinishauri tu na maamuzi ya kumuacha mke wangu yalibakia mikononi kwangu," alisema na kuongeza;

"... Alionyesha kiburi na ndio maana niliamua kuandika barua ile kwa Spika wa Bunge. Naamini kuwa siku si nyingi yote yataonekana na kwa sasa namuachia Mwenyezi Mungu."

Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba, aamekataa kuzungumzia jambo hilo akisema halihusiani na chama chake.

Makamba aliliambia gazeti hili kuwa, "usiniulize masuala ya watu, hilo ni suala la watu na kama unataka kuniuliza uliza kuhusu uchaguzi."

Katibu huyo alifafanua pia kuwa, yeye hawezi sasa kulijadili suala hilo, badala yake yuko radhi kujadili masuala ya uchaguzi.

Alipotakiwa kuelezea kuhusu utata wa azma ya Amina Chifupa kugombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM mwakani na kisha kupewa kauli ya kukataliwa, kauli iliyotoka kwa kiongozi mmoja wa juu wa UVCCM, Makamba pia hakutaka kuzungumza na akalitaka gazeti hili kumuuliza siku nyingine.

Katika hatua nyingine, Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Amos Makalla, amewashangaa na kuwabeza wanachama wa umoja huo wanaofikiria kuwania uenyekiti wa umoja huo kwa sasa.

Akizungumza na Mwananchi jana, alisema yeyote anayefikiria kuwania nafasi hiyo kwa sasa si makini katika siasa.

Alisema umoja huo hauna taarifa za Chifupa kutaka kuwania uongozi katika umoja huo, lakini akasema hadhani kama mtu makini anaweza kujitokeza hivi sasa kuwania uongozi huo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwakani.

"Mimi sijui kama Amina Chifupa anataka kugombea UVCCM. Lakini sidhani kama mtu makini anaweza kujitokeza hivi sasa," alisema Makala.

Chifupa alikaririwa na gazeti moja juzi akisema kwamba kuvunjika kwa ndoa yake kulitokana na nia yake ya kutaka kuwania uenyekiti wa umoja huo.

Mbunge huyo juzi alishindwa kutimiza ahadi yake ya kuzungumza na waandishi wa habari kumtaja Naibu Waziri katika serikali ya Awamu ya Nne anayedaiwa kuvuruga ndoa yake.

Tovuti inaendelea kujengwa...
 
Wakati mjadala huu wa Mama "Rahmaninho" au "Mama shughuli" ukizikidi kupata wachangiaji wengi ni muhimu kukumbushana yafuatayo;

1. Juu ya thread hii kuna mada ya muswada wa mabadiliko ya Katiba, tunaomba michango yenu waheshimiwa.

2. Chini ya thread hii kuna Tanzia ya Askari wa TPDF Bi Leticia aliefariki ktk ajari ya ndege ya Kenya Airways, kama shujaa aliyeenda kuiwakilisha nchi za nje tunaomba mdundoshe walau mstari mmoja wa rambi rambi.

Back to the mada, wazungu wana msemo "it takes two to tangle" naona focus yote ipo kwa Bi Amina wakati Zitto is the culprit same as Bi Amina, baya zaidi watu wanasahau kumchukua mke wa mtu ni wizi na ukishakuwa mwizi huwezi ukatushawishi kuwa mie wizi wangu ni wa aina hii fulani tu ( I mean tukimpa uongozi ataiba mali za umma pia)

Kwenu mnao mshauri Zitto akae kimya tu, huo ni ushauri m-baya kuliko yote, He has to come open haya mambo ya wait and see na kuwasubiri kwanza CCM hayatamsaidia kitu Zitto. Its very simple aje aseme kweli nimekamua na Im sorry for that, na kwa kuwa Bibie sasa yupo nje ya ndoa na yeye Zitto hana mke aangalie uwezekano wa kuchukua jumla, akamilishe hadithi ya kumsusia shamba nguruwe. Na kama hajakamua aseme na to move on.

Kinyume cha hayo minong'ono itaendelea for an undefinete period nadhani hiyo itamuharibia zaidi.
 
Mimi nadhani kama ni kweli basi hakuna neno ila najua haya ni maneno ya kisiasa kuharibiana . Kama kweli itakwua CCM kuiba kura kule kwenye BOX na wapinzani kufanya mambo moja kwa moja ama mnasemaje mimi teh teh teh teh teh
 
"Ni kweli nilimuona Nchimbi (Emmanuel Nchimbi, Mwenyekiti wa UVCCM) na nilitaka tu kumueleza kuhusu uamuzi wangu na si vinginevyo. Alinishauri tu na maamuzi ya kumuacha mke wangu yalibakia mikononi kwangu," alisema na kuongeza;

"... Alionyesha kiburi na ndio maana niliamua kuandika barua ile kwa Spika wa Bunge. Naamini kuwa siku si nyingi yote yataonekana na kwa sasa namuachia Mwenyezi Mungu."

Mimi naona kama Mpakanjia huyu naye ni bomu kabisa. Sasa alikwenda kumwona Nchimbi kama nani kwenye maswala ya ndoa yake? Kuandika barua kwa spika wa bunge kulikuwa kunamsaidia nini katika azma yake ya kumtaliki mkewe? Huu ni ujinga kabisa.

Nimefurahishwa sana na kauli ya Mzee Makamba kuwa hayo mambo ya watu binafsi hawezi kuyaingiza katika chama.
 
Zitto ajikalie kimya..ameshahukumiwa na waungwana wengi humu!!!!
 
Wakati mjadala huu wa Mama "Rahmaninho" au "Mama shughuli" ukizikidi kupata wachangiaji wengi ni muhimu kukumbushana yafuatayo;

1. Juu ya thread hii kuna mada ya muswada wa mabadiliko ya Katiba, tunaomba michango yenu waheshimiwa.

2. Chini ya thread hii kuna Tanzia ya Askari wa TPDF Bi Leticia aliefariki ktk ajari ya ndege ya Kenya Airways, kama shujaa aliyeenda kuiwakilisha nchi za nje tunaomba mdundoshe walau mstari mmoja wa rambi rambi.

Back to the mada, wazungu wana msemo "it takes two to tangle" naona focus yote ipo kwa Bi Amina wakati Zitto is the culprit same as Bi Amina, baya zaidi watu wanasahau kumchukua mke wa mtu ni wizi na ukishakuwa mwizi huwezi ukatushawishi kuwa mie wizi wangu ni wa aina hii fulani tu ( I mean tukimpa uongozi ataiba mali za umma pia)

Kwenu mnao mshauri Zitto akae kimya tu, huo ni ushauri m-baya kuliko yote, He has to come open haya mambo ya wait and see na kuwasubiri kwanza CCM hayatamsaidia kitu Zitto. Its very simple aje aseme kweli nimekamua na Im sorry for that, na kwa kuwa Bibie sasa yupo nje ya ndoa na yeye Zitto hana mke aangalie uwezekano wa kuchukua jumla, akamilishe hadithi ya kumsusia shamba nguruwe. Na kama hajakamua aseme na to move on.

Kinyume cha hayo minong'ono itaendelea for an undefinete period nadhani hiyo itamuharibia zaidi.

Heshima yako Mzee Masatu,

Naafikiana nawe kuhusu wanabodi kuangalia mada nyingine na kuzichangia.Lakini yatupasa kukumbuka kuwa suala la michango ya mwanabodi ni utashi wake binafsi.Kama vile wewe unapoamua kuisoma au kutoisoma mada flani,kuchangia au kutochangia mada hivyo,the same applieas to other members of the forum.Kinachokushawishi wewe kusoma/kutosoma au kuchangia/kutochangia ndio ndio hichohicho kinachowasukuma wengine.

Naomba kutofautiana nawe kuhusu wanamsihi Zitto kukaa kimya.Assumming kuwa kweli Zitto alitembea na AC,nadhani AC ana makosa zaidi kwa vile yeye ni mke wa mtu.Leaving mambo ya nyadhifa zao aside,sote tunafahamu kuwa wakati Zitto aliposhawishika kufanya alichofanya alijua bayana madhara yake kisiasa once ishu hiyo ikibumburuka.Lakini kwa AC it was more than political implications kwani yeye ni mke wa mtu.

Furthermore,Zitto aseme nini zaidi ya alokwishasema kuwa uhusiano kati yake na AC ni kama alionao na wabunge wengine wake kwa waume,wazee kwa vijana?Mbona humlaumu Nchimbi kwa kukaa kimya kuhusu tuhuma kuwa alimkatalia AC asigombee au hizo tuhuma nyingine kuwa alishawahi kuwa na uhusiano na AC?Wakati mwingine njia mwafaka ya kudili na tuhuma ambazo hazijaelekezwa kwako directly (eg gazeti kuandika kwa uhakika kuhusu kashfa flani) ni kukaa kimya.And Zitto did more than kukaa kimya.HE DENIED THE ACCUSSATIONS.Nadhani pindi MPAKANJIA atakapomtuhumu Zitto kuwa ndiye chanzo cha yeye kumtaliki AC,mtuhumiwa anaweza kukimbilia mahakamani.Let's wait and see.
 
Masatu, heshima yako.

Nani mwenye jukumu la kuchunga ndoa yake? Amina hakuibwa - kwani kinachoibwa hakina hiari!! Amina hakufungwa kamba na kuvutwa nje ya nyumba yake (assuming she in fact went outside her marriage vows). It takes two to tango, but somebody must take the lead!

Wale tunaomshauri Zitto kuwa kimya kwa wakati huu, hatuna maana asilizungumzie jambo hili hapo baadaye. Hili jambo bado lina moto na linahusu hisia za watu wengi, na udadisi wa maelfu. Akiamua kuliongelea sasa anachofanya siyo kuzima bali kukoleza moto! Kama nilivyosema huko nyuma, Amina, Medi na familia zao wanapaswa kulishughulikia kivyao! Watakapoamua kulizungumzia hadharani kama alivyofanya Medi waache wao wafanye, ni mtego ambao Zitto asiuingie hata kidogo! Zitto atapaswa kulizungumzia jambo hilo pale Amina atakapopewa nafasi ya kusema hadharani na akasikika!!

By the way, madai ya Medi kuwa "alienda" kwa Nchimbi ni mazingaombwe. Ni Nchimbi aliyeinitiate call na kumuita Medi na kumwambia kuna jambo ambalo anataka kumwambia. Ni yeye aliyeweka hadharani "so called ushahidi" na kumwongoza Medi kufikia uamuzi kiasi cha Medi kufikiri uamuzi ni wa kwake!!
 
Zitto amefanya kosa na sina Imani nae tena.

Nimezipata toka ndani ya Bunge kuwa Zitto aliambiwa mara nyingi tu kuwa asiwe karibu na mke wa mtu, akawaona jamaa wanamuonea gere. hatuna sababu ya kumuhurumia, mtu makini huwezi kuwa close na AC.

Mwanakijiji.

Nimekuwa nikisikia kuwa una ubia na Chadema na unavyojaribu kusaidia kumjenga Zitto kuwa ni mtoto tumsamehe unaharibu credibility yako na kutushawishi tuzidi kukubali hoja za wapinzani wako kuwa wewe ni Chadema au mtu wa karibu wa Mbowe.

kipindi chako cha leo-Zitto na Amina kwenye podomatic yako umejishushia hadhi mkuu wangu www.mwanakijiji.podomatic.com.

Hawa wabunge wanatumbua pesa zetu bungeni ilitakiwa wafikiri sana yaliowapeleka bungeni na si kutumia muda huo kufanya yao.

WANAJF.
Suala hili la ugoni linanikumbusha hali ya wanafunzi wa UDSM, huko kuna ndoa zao hata awe mke wa mtu ataolewa tena huko chuoni. kumbe na bungeni kuna ndoa kama za chuo kikuu cha Dar-es-salaam? Zitto kabwe umevuruga sana ndio maana hutaki kuoa ili uwe na wake za watu? Muhonga nae umempotezea muda wake. tunahitaji mahakama ya Kadhi ili huu upuuzi wa Zitto ukome.
 
Nungwi,
Mbona unatutisha? Mahakama ya kadhi na sisi tusio waislamu je? Mtatupiga mawe vile vile?
 
Jasusi.
Hata mimi si ustadh ila sheria zao zingine nzuri huko Saudia Ukimwi uko chini na madawa ndio kabisa. kama Mbunge mtungasheria hafuatia sheria unategemea kitu gani? Bora ije mahakama ya kadhi itutungie sheria.Zitto kabwe kazi imemshinda.
 
Mlalahoi,

Sijamlazimisha mtu kuchangia mada. Soma vizuri nilichoandika kabla ya kukurupuka.

Mwkjj.

Nakubaliana na wewe kilichoibiwa hakina hiari, lakini ktk hili alieibiwa ni Medi! unless uniambie ilikuwa "hiari" yake Medi kuwa Zitto ajilie.

Well somebody must take the lead, who is that in this saga? We need Zitto to come open.

Kama ni mtego Zitto kishauvaa cha kufanya ni kujinanusua, kula "tunda" Ujiji huko haimsaidii.
 
Nungwi,

Hii ya Muhonga imenipita kidogo, can u elaborate abit more pls (only asking)
 
Jamani mweee!
Nimefuatilia habari za mjini Bongo inasemekana hakuna ukweli wowote katika habari hizi isipokuwa ni mbinu za Nchimbi kama zile alizozifanya kwa mtoto wa JM. isipokuwa baada ya kujaribu kila mbinu kamkuta mtoto wa watu AC yuko fit ktk kamati za ufundi. (mmakonde) haingiliki.
Hbari pia za Utatanishi zinaendelea kuthibitishwai ktk gazeti na Daima, kwamba Zitto na Amina wamekanusha uvumi huu kuwa hizi ni mbinu za Nchimbi ktk kutafuta mrithi wake wa UVCCM! hakuna cha video wala picha za watu wanakula Denda.
 
Zitto amefanya kosa na sina Imani nae tena.

Nimezipata toka ndani ya Bunge kuwa Zitto aliambiwa mara nyingi tu kuwa asiwe karibu na mke wa mtu, akawaona jamaa wanamuonea gere. hatuna sababu ya kumuhurumia, mtu makini huwezi kuwa close na AC.

Nungwi maneno yako ni makali kweli! Sasa wewe ni nani hadi huruma yako watu waitafute? Hatuhitaji kumhurumia na hahitaji huruma ya mtu yeyote isipokuwa kuwajibika kwa wale aliowaumiza wewe na mimi hatuko kwenye orodha hiyo!! Na habari bado zipo ni kuwa hizi ni tuhuma tu na hakuna ukweli wowote ndani yake na ndio maana tunamwambia Zitto akae kimya.. waache CCM walinywe walilolikoroga wenyewe!!

Mwanakijiji.

Nimekuwa nikisikia kuwa una ubia na Chadema na unavyojaribu kusaidia kumjenga Zitto kuwa ni mtoto tumsamehe unaharibu credibility yako na kutushawishi tuzidi kukubali hoja za wapinzani wako kuwa wewe ni Chadema au mtu wa karibu wa Mbowe.

Nungwi, siasa kwangu iko kwenye damu! mimi kuhusishwa na mtu yeyote au watu kutunga nadharia zao juu yangu ni jambo ambalo sina control nalo!! Wanaweza kunihusisha na mtu yeyote na kwa namna yoyote.. its part of the price that some of us are willing to pay!! Wanaosema hivyo ni kwa vile naandika kwenye Tanzania Daima! Nimeomba niandike makala zangu Nipashe, Majira, Uhuru, na Habari Leo... sijajibiwa!! Nikianza kuandika kwenye magazeti mengine si watu ndo watashindwa kundi la kuniweka tena!!?

kipindi chako cha leo-Zitto na Amina kwenye podomatic yako umejishushia hadhi mkuu wangu www.mwanakijiji.podomatic.com.

Hivi hili la kunitishia kuhusu credibility litakoma lini? Maoni yangu ni ya kwangu na kama kuna watu wanataka kupingana nami kuna ukurasa wa maoni pale wanaweza kutoa maoni yao! Mimi sina uhodhi wa maoni na sijawahi kudai maoni yangu ni sahihi wakati wote kwa watu wote!!

Hawa wabunge wanatumbua pesa zetu bungeni ilitakiwa wafikiri sana yaliowapeleka bungeni na si kutumia muda huo kufanya yao.

Yaani itabidi tuanzishe polisi wa maadili (Moral Police) na wakianzia Bungeni waje hadi mashuleni, mitaani, n.k kuhakikisha hakuna mtu anamezea mate mke wa mtu au dada wa mtu!! this idea borders the absurd!

WANAJF.
Suala hili la ugoni linanikumbusha hali ya wanafunzi wa UDSM, huko kuna ndoa zao hata awe mke wa mtu ataolewa tena huko chuoni. kumbe na bungeni kuna ndoa kama za chuo kikuu cha Dar-es-salaam? Zitto kabwe umevuruga sana ndio maana hutaki kuoa ili uwe na wake za watu? Muhonga nae umempotezea muda wake. tunahitaji mahakama ya Kadhi ili huu upuuzi wa Zitto ukome.

Hamna maneno jitengenezeeni tu mahakama ya kadhi msisubiri serikali iwaundie!!
 
Unajua mimi sijui ni upeo wangu mdogo, hivi kitu gani cha ajabu hapa kinachotufanya tumtuhumu Zitto au AC? kama watu wana any evidence to prove this let them come clean otherwise mi naona hizi ni conspiracy theories. Huyu Medi (with due respect) nadhani ana upungufu wa busara...where on earth unaweza kuona mtu anamwacha mke wake kwa kuandika barua kwa mwajiri wake (assume mwajiri wa AC ni spika maana sisi hatukumchagua)? Its stupidity of the highest accomplishment. Ndo maana kwa wengi wetu humu..tumeshang`amua hizi ni CONSPIRACY THEORIES, unless the contrary is proved. Wengine wameshamhukumu Zitto kwamba hawana imani naye, hafai uongozi, na mengineyo..just kwa HEAR SAY evidence tuu, hapana.....TUTAFUTE UKWELI NA UKWELI TUPU na wakutupa ukweli ni Medi the aggrived husband (as he then was). Mnyonge anyongwe ila haki yake apewe....

Assume kweli Medi loves his wife na alikuwa anapenda watatue any difference, if any between them, do you really believe angemwacha mke wake kwa "ushauri au ushahidi wa third part" , ambao mmeshaoa na kuolewa..is this the way you do business za kifamilia? perhaps i need more shule on this!......angemwandikia spika kumtaarifu kwamba anamwacha mke wake? kusudi spika afanye nini sasa? (though tunajua unaweza kuomba intervention ya mwajiri kusudi jamaa alipe child support!!!)..Indeed do we know even the contents of the said letter?....Either Zitto na AC walifanya mapenzi as alleged, we dont know! Me and you, if you do, please challenge my assumption and we shall start from there, Mi nadhani as MKJJ, Mkandara et al said..lets be critical in thinking....Tujue ukweli uko wapi...And who alleges must prove..anayemtuhumu Zitto na AC alete ushahidi, na wala si vinginevyo. Unless tunaangalia hili swala kwenye prism ya Uchadema na UCCM...basi....(I wish wote waliotuhumiwa kuanzia Rada, Ndege, Madini, Loliondo, viwanja na nyumba za umma, hela ya wavusha jasho etc...acha hata wasingejiuzulu as we see a clarion call for Zitto to step down..wangerudisha hata nusu ya walivyoiba..we would be better off!!).....
 
(1). Mpakanjia:
alioa kwa siri ndoa ya mkekani, bila ya kumuarifu mkewe ac, habari zikamfikia ac na akapewa ushahidi wa picha za harusi hiyo ya mkekani, Mpakanjia akatumia fweza kumnyamazisha huyo mkewe mpya, na pia kumpoza ac!

(2). ac
alipoarifiwa kuwa mumewe ameoa kwa siri aliapa kuwa kama ni kweli atamlipa millions mleta ukweli, alipoletewa ukweli akawa bubu na hakulipa zile hela alizoahidi, lakini akaamua kulipa kisasi na kuanza kujirusha na el, baadaye mzee mzima Zeeeee!

(3). Mpakanjia:
akaletewa ushahidi wa video wa mkewe akijirusha na mzee mzima Zeeeee!, akaamua kumtaliki, akaandikiwa barua kwa Spika na en!

(4). Media:
wakawasha moto on the ishu, ac akaahidi kutokea leo ili kutoa ukweli kwamba kuna waziri mdogo ambaye hakumtaja jina, anayempiga vita ambaye ndiye aliyemzushia hili sooo! kwenye mkutano wa media ac hakutokea, badala yake akatokea baba wa ac, na kudai kuwa wanalishughulikia hili soo katika familia,

Nitarudi na my opinion!
 
Masatu, heshima yako.

Nani mwenye jukumu la kuchunga ndoa yake? Amina hakuibwa - kwani kinachoibwa hakina hiari!! Amina hakufungwa kamba na kuvutwa nje ya nyumba yake (assuming she in fact went outside her marriage vows). It takes two to tango, but somebody must take the lead!

Wale tunaomshauri Zitto kuwa kimya kwa wakati huu, hatuna maana asilizungumzie jambo hili hapo baadaye. Hili jambo bado lina moto na linahusu hisia za watu wengi, na udadisi wa maelfu. Akiamua kuliongelea sasa anachofanya siyo kuzima bali kukoleza moto! Kama nilivyosema huko nyuma, Amina, Medi na familia zao wanapaswa kulishughulikia kivyao! Watakapoamua kulizungumzia hadharani kama alivyofanya Medi waache wao wafanye, ni mtego ambao Zitto asiuingie hata kidogo! Zitto atapaswa kulizungumzia jambo hilo pale Amina atakapopewa nafasi ya kusema hadharani na akasikika!!

By the way, madai ya Medi kuwa "alienda" kwa Nchimbi ni mazingaombwe. Ni Nchimbi aliyeinitiate call na kumuita Medi na kumwambia kuna jambo ambalo anataka kumwambia. Ni yeye aliyeweka hadharani "so called ushahidi" na kumwongoza Medi kufikia uamuzi kiasi cha Medi kufikiri uamuzi ni wa kwake!!

Hivi wewe umejuaje/ unajuaje hizi habari za ndani namna hii? Wewe unaishi Detroit, yanayodaiwa yametokea Tanzania (Dar au Dom) lakini unazungumza kwa mamlaka kama vile wahusika ni marafiki zako wa karibu. What the hell bro? Have you moved into the realms of sensationalism or what?

Utajisikiaje siku ukigundua kuwa Nyani Ngabu kaku*&% demu/ mke wako? Je, utaniwinda unitandike risasi, unibamize mingumi, utamuacha/ utamtaliki mkeo, or what would you do?
 
Ok peeps, it's right about time to cut this crap out. Nilidhani hii forum, hususan ukurasa huu ni wa "kukata ishu" (niazime msemo wa Mzee Es) lakini sasa naona umegeuka kuwa wa udaku, udaku, and more udaku!! Yaani mibaba mizima mnakaa mbele ya kompyuta zenu za kuanza kuzungumzia tuhuma za Zitto kulala na Amina Chifupa. Cha ajabu hapa ni kipi na hili swala linawahusu nini nyie? Haya mambo yanatokea kila siku. Zitto na Chifupa si wa kwanza wala mwisho kukumbwa na tuhuma kama hizi. Nawauliza tena, cha ajabu ni nini? Please, let them be. Let them sort out their own problems, if they have any. Whatever happened or whatever may have happened between them does NOT CONCERN YOU AND NEITHER IS ANY OF YOUR BUSINESS. GET A LIFE Y'ALL!!!!!!!!!!
 
Nyani.... ulimwengu huu kijiji!!! Na uki&%$# demu wangu..hukumlazimisha na alifungua mwenyewe miguu more power to you!! unajua kuna mademu wangapi wengine wako pembeni.. !! Believe me, the only person I can control is me.

Sawa, ulimwengu siku hizi ni kijiji kidogo. But, do you take everything you hear with a grain of salt or at face value, and disseminate it as if you have it on good authority?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom