Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Andika kama mtu makini basi..
Mpina kasingiziwa hajapora ardhi?wanavijiji wanaolia wamelipwa??
Sasa kama ni hivyo why unasema hakuna msafi CCM?asihukumiwe peke yake? Ahukumiwe nini na umesema kasingiziwa?
Which is which??
[emoji1787][emoji7]
 
Umeuliza swali gumu sana, na hakuna mwana ccm wa kujibu hili

Na hata ikitokea madai kuhusisha kipindi cha mwenda zake, miaka mi2+ sasa, kwa nini isiwe mwaka jana?
Usijitoe ufahamu....kesi ya madai inaweza kuinuliwa muda wowote tu.....
 
Anachofanyiwa Mpina ni zengwe la wazi na wote tunajua hilo. Lakini watu kama kina Mpina sio rahisi kukaa upande wao, maana pia alikuwa ni mtu anayesupport uonevu kwa wengine. Kama aliona ni sahihi kukalia kimya uovu wakati akila mema kipindi cha dhalimu, acha aonje matunda ya uhayawani aliousimamia uote. Ukifumbia macho uovu, siku ukifanyiwa uovu utakuwa peke yako.
Ushahidi wa zengwe uko wapi?
 
Wewe huna akili kabisa
Hapa nimeuliza kuhusu Mpina ...
Wapi umeona nimesema Mpina kapora ardhi ?Mimi nimemuuliza alieleta mada aweke hoja zake vizuri..
Wewe Acha kuvamia hoja kama hujaelewa
Labda atakuwa ana matatizo ya akili[emoji1787]
 
Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6

Michango yako yote kuwahusu kina fulani inafahamika na ipo humu! Umsemee mazuri Mpina Wewe?

Ni ujinga kudhani Mpina akikomolewa kwa mambo ya kipumbavu eti wewe uone umetangaza soko la kile unaamini!
Mbona hujikiti kwenye hoja iliyotolewa zaidi ya kusimamisha hisia zako nje ya kilichopo mezani?!!!
 
Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?

Kuwa CCM yahitaji unyofolewe ufahamu
Kama amesingiziwa kamati ya siku 14 itatupa majibu......

Hizo ni tuhuma tu na hazijathibitishwa.....kwani kutuhumiwa ni kupewa hukumu?!!!
 
Kutakua na milipuko ya backfire. Wala wasithubutu kumsulubu mpina. Wakilianzisha tunalo. Wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi walifanikiwa kumzuia lowassa na membe... wasijaribu ama sivyo watakinukisha.
Mkuu vipi ?!!!

Ni akina nani wanataka kulianzisha ?!!!

Mh.Mpina mbona anatuhumiwa....siku 14 zijazo yatajulikana tu....

Hii tabia ya kutotaka kutuhumiwa kwa lolote na kuogopa vyombo vyombo vya sheria na kujifanya kuwa tuhuma ni kwa baadhi ya watu tu si yenye afya na hudumaza kujiamini.....

Mh.Mpina anatuhumiwa tu na hazijathibitishwa......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Majinga kweli haya, yanaona kuja na kashfa za kitoto ndio labda Mpina atalegeza kamba.Kazia hapohapo Mpina
 
Back
Top Bottom