Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Wewe huna akili kabisa
Hapa nimeuliza kuhusu Mpina ...
Wapi umeona nimesema Mpina kapora ardhi ?Mimi nimemuuliza alieleta mada aweke hoja zake vizuri..
Wewe Acha kuvamia hoja kama hujaelewa
Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6

Michango yako yote kuwahusu kina fulani inafahamika na ipo humu! Umsemee mazuri Mpina Wewe?

Ni ujinga kudhani Mpina akikomolewa kwa mambo ya kipumbavu eti wewe uone umetangaza soko la kile unaamini!
 
Mpina anaeleweka, na wote wenye nia mbaya dhidi yake wanafahamika pia, wasijisumbue, hili taifa sio la wajinga, muhimu wajibu hoja dhidi yake wakae kwa amani.
 
Tulipofika imekuwa Ngumu kujua nani ni Mzalendo wa kweli na nani anaigiza huku CCM

Au ndio chama kimefikia decline stage katika PLC?!

Mlale Unono
Kwa tuliyoisikia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku tumeelewa hilo. Yaani hata Mpina?
 
Mpina ni tapeli tu na alikuwa anatumia ukaribu wake na JPM kudhulumu ardhi. Huyo aliingia kichwa kichwa akitaka kudhulumu ardhi kule Kata ya Udekwa Kijiji cha Wotalisoli, Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa jamaa wakamchomeka kwenye eneo la "Udzungwa nature reserve" na kamati ya ardhi ya kijiji ikala pesa zake. Hana hamu sasa kwa kule. Hili nalifahamu kwani nilikuwa mmoja wa maafisa wa Ardhi kule Wilaya ya Kilolo.

Kimsingi, hakuna mwana siasa mwenye maana ukiona anapiga kelele ujie amenyimwa ulaji, anafurukuta ila alambe asali.
 
Tulipofika imekuwa Ngumu kujua nani ni Mzalendo wa kweli na nani anaigiza huku CCM

Au ndio chama kimefikia decline stage katika PLC?!

Mlale Unono
Kinachoendelea sasa kwa Mpina ni zengwe la walamba asali wa mjengoni wanaokaliwa kooni na hoja zake

Mlamba asali namba moja anayekaziwaga sana na Mpina ni Mh. Marope; na Mh. Nepi ni chawa wake, na Mh. Rizimoko ni allay 'mshirika'
 
Ifike mahali, wote wenye nia ya dhati ya kulijenga Taifa letu, wajitenge na chama hiki kinachojulikana kama chama cha mafisadi na wanachama wake wengi ni wajinga.
 
Mpina ni tapeli tu na alikuwa anatumia ukaribu wake na JPM kudhulumu ardhi. Huyo aliingia kichwa kichwa akitaka kudhulumu ardhi kule Kata ya Udekwa Kijiji cha Wotalisoli, Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa jamaa wakamchomeka kwenye eneo la "Udzungwa nature reserve" na kamati ya ardhi ya kijiji ikala pesa zake. Hana hamu sasa kwa kule. Hili nalifahamu kwani nilikuwa mmoja wa maafisa wa Ardhi kule Wilaya ya Kilolo.

Kimsingi, hakuna mwana siasa mwenye maana ukiona anapiga kelele ujie amenyimwa ulaji, anafurukuta ila alambe asali.
Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?

Kuwa CCM yahitaji unyofolewe ufahamu
 
Mpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.

Lkn kama alivyowahi kusema mheshimiwa Polepole kwamba ndani ya ccm ukiwa mfukunyuku, mpembuzi na mjenga hoja basi jiandaye kwa mambo 3:- kuuawa, kufanyiwa zengwe ama kurogwa.

Sasa naona Mpina ameundiwa zengwe kwamba amepora ardhi ya wanavijiji 3. Na kama kawaida waigizaji wameandaliwa wanalia na kugalagala unaweza kudhani ni kweli. Mpina wa watu anataka kutishwa ili akae kimya.

Nchi ngumu Sana hii.

My take;:
Hakuna kigogo wa ccm aliye msafi, hivyo Mpina asisulubiwe peke yake. Vinginevyo tuko tayari kufichua duluma iliyofanywa/inayofanywa na kila mwanaccm.

CCM hovyoooo!!!
Wananchi wanapokubali kutumika kufanya uhalifu kwa maelekezo ya dola maana yake ni kwamba utawala huo umefitinika na unajifitini na hakika anguko lake ni suala la muda tu
 
Wanajua Mpina anaenda kuigaragaza bajeti ya makamba mana ashaandaa mkeka kama wote ... Wanampunguz makali
 
Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6

Michango yako yote kuwahusu kina fulani inafahamika na ipo humu! Umsemee mazuri Mpina Wewe?

Ni ujinga kudhani Mpina akikomolewa kwa mambo ya kipumbavu eti wewe uone umetangaza soko la kile unaamini!
Wewe akili yako ipo Karne ya kwanza!?
 
Vita vya panzi.........!!
Iko hivi

IMG-20191216-WA0001.jpg
tapatalk_1575089448362.jpg
 
Wajuzi wa masuala ya siasa za Tanzania naombeni ufafanuzi.

Hivi ukiona mwanaCCM anawapinga wanaCCM wenzake, je ni kweli mtu huyu anakuwa anawapinga wenzake kwa moyo wa dhati au anakuwa anatafuta kulamba asali?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?

Kuwa CCM yahitaji unyofolewe ufahamu
Hayo yako na mtazamo wako na hiyo changamoto ya viongozi kupora ardhi ilikuwepo toka na toka. Sumaye na Mvomero pia Mkapa na Turiani kwa hiyo yeye sio wa kwanza japo naona unaongelea katika muktadha wa Sukuma gang. Pole yako.
 
Mpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.

Lkn kama alivyowahi kusema mheshimiwa Polepole kwamba ndani ya ccm ukiwa mfukunyuku, mpembuzi na mjenga hoja basi jiandaye kwa mambo 3:- kuuawa, kufanyiwa zengwe ama kurogwa.

Sasa naona Mpina ameundiwa zengwe kwamba amepora ardhi ya wanavijiji 3. Na kama kawaida waigizaji wameandaliwa wanalia na kugalagala unaweza kudhani ni kweli. Mpina wa watu anataka kutishwa ili akae kimya.

Nchi ngumu Sana hii.

My take;:
Hakuna kigogo wa ccm aliye msafi, hivyo Mpina asisulubiwe peke yake. Vinginevyo tuko tayari kufichua duluma iliyofanywa/inayofanywa na kila mwanaccm.

CCM hovyoooo!!!
Kumbe unalijua tuoneshe msafi Kwa kauli yako
 
Yale akina Mpima walifanyia wengine sasa uamemrudia. Karma
 
Back
Top Bottom