Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Ccm mbona kma chama hakijielewi na kibovu kias kwamba kimechokwa sana wa Tanzania wengi sana na kila ukicha wanakivunja chama Chao wao tatzo UPINZANI NAO haujielwi na kujitambua kabisaa agenda zao nao wanawapamba hao hao CCM hapa sijui nani wa kuja kulikomboa TAIFA HILI LENYE KIZA NA WANAICHI WAKE NAO WAPO KWENYE USINGUZI TOTOROO

Unaona je ungeanziasha Chama chenye upinzani wenye kujielewa ukalikomboa taifa hili?
 
Andika kama mtu makini basi..
Mpina kasingiziwa hajapora ardhi?wanavijiji wanaolia wamelipwa??
Sasa kama ni hivyo why unasema hakuna msafi CCM?asihukumiwe peke yake? Ahukumiwe nini na umesema kasingiziwa?
Which is which??
Kinachokusumbua wewe kila mtu anakijua fika!

Wewe na Zit to ni kama maji na samaki, asowajua nani nyinyi watu wa hovyo kabisa!

Mnang'ang'ania mambo ya karine ya 6 huko??
 
Mpina ndiye mbunge pekee aliyekuwa anawakalia kooni mawaziri wa serikali ya wamu ya 6.

Lkn kama alivyowahi kusema mheshimiwa Polepole kwamba ndani ya ccm ukiwa mfukunyuku, mpembuzi na mjenga hoja basi jiandaye kwa mambo 3:- kuuawa, kufanyiwa zengwe ama kurogwa.

Sasa naona Mpina ameundiwa zengwe kwamba amepora ardhi ya wanavijiji 3. Na kama kawaida waigizaji wameandaliwa wanalia na kugalagala unaweza kudhani ni kweli. Mpina wa watu anataka kutishwa ili akae kimya.

Nchi ngumu Sana hii.

My take;:
Hakuna kigogo wa ccm aliye msafi, hivyo Mpina asisulubiwe peke yake. Vinginevyo tuko tayari kufichua duluma iliyofanywa/inayofanywa na kila mwanaccm.

CCM hovyoooo!!!
Hilo zengwe ni la walamba asali, hasa wale anaowaandama kwa hoja zake pale mjengoni

Mh. Marope na chawa wake Mh. Nepi
 
Anachofanyiwa Mpina ni zengwe la wazi na wote tunajua hilo. Lakini watu kama kina Mpina sio rahisi kukaa upande wao, maana pia alikuwa ni mtu anayesupport uonevu kwa wengine. Kama aliona ni sahihi kukalia kimya uovu wakati akila mema kipindi cha dhalimu, acha aonje matunda ya uhayawani aliousimamia uote. Ukifumbia macho uovu, siku ukifanyiwa uovu utakuwa peke yako.
 
Nitawashangaa watanganyika 2025 kuchagua kiongozi kutaka kundi la watu milioni moja badala ya kundi la watu 60milioni.

Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Tumefikia mahali viongozi wanaingia madarakani kwa kunajisi chaguzi, na vyombo vya dola vinakuwa sehemu ya kubariki uhuni huo. Sasa sijui ni watanzania gani wanachagua viongozi.
 
Kinachokusumbua wewe kila mtu anakijua fika!

Wewe na Zit to ni kama maji na samaki, asowajua nani nyinyi watu wa hovyo kabisa!

Mnang'ang'ania mambo ya karine ya 6 huko??


Wewe huna akili kabisa
Hapa nimeuliza kuhusu Mpina ...
Wapi umeona nimesema Mpina kapora ardhi ?Mimi nimemuuliza alieleta mada aweke hoja zake vizuri..
Wewe Acha kuvamia hoja kama hujaelewa
 
Kinachokusumbua wewe kila mtu anakijua fika!

Wewe na Zit to ni kama maji na samaki, asowajua nani nyinyi watu wa hovyo kabisa!

Mnang'ang'ania mambo ya karine ya 6 huko??
Huyo utopolo ana sifa kama za yule ajuza maarufu wa JF ambaye jina lake linaanza na herefi F na kumalizia na herufi x
 
Ukitaka kuruka agana na nyoga,je mpina ameagana na nyonga?🀣yajayo yanafurahisha.
 
Tulipofika imekuwa Ngumu kujua nani ni Mzalendo wa kweli na nani anaigiza huku CCM

Au ndio chama kimefikia decline stage katika PLC?!

Mlale Unono
 
Back
Top Bottom