Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji7]Andika kama mtu makini basi..
Mpina kasingiziwa hajapora ardhi?wanavijiji wanaolia wamelipwa??
Sasa kama ni hivyo why unasema hakuna msafi CCM?asihukumiwe peke yake? Ahukumiwe nini na umesema kasingiziwa?
Which is which??
Unamaanisha nini mkuu?Kinachokusumbua wewe kila mtu anakijua fika!
Wewe na Zit to ni kama maji na samaki, asowajua nani nyinyi watu wa hovyo kabisa!
Mnang'ang'ania mambo ya karine ya 6 huko??
Usijitoe ufahamu....kesi ya madai inaweza kuinuliwa muda wowote tu.....Umeuliza swali gumu sana, na hakuna mwana ccm wa kujibu hili
Na hata ikitokea madai kuhusisha kipindi cha mwenda zake, miaka mi2+ sasa, kwa nini isiwe mwaka jana?
Ushahidi wa zengwe uko wapi?Anachofanyiwa Mpina ni zengwe la wazi na wote tunajua hilo. Lakini watu kama kina Mpina sio rahisi kukaa upande wao, maana pia alikuwa ni mtu anayesupport uonevu kwa wengine. Kama aliona ni sahihi kukalia kimya uovu wakati akila mema kipindi cha dhalimu, acha aonje matunda ya uhayawani aliousimamia uote. Ukifumbia macho uovu, siku ukifanyiwa uovu utakuwa peke yako.
Labda atakuwa ana matatizo ya akili[emoji1787]Wewe huna akili kabisa
Hapa nimeuliza kuhusu Mpina ...
Wapi umeona nimesema Mpina kapora ardhi ?Mimi nimemuuliza alieleta mada aweke hoja zake vizuri..
Wewe Acha kuvamia hoja kama hujaelewa
Mbona hujikiti kwenye hoja iliyotolewa zaidi ya kusimamisha hisia zako nje ya kilichopo mezani?!!!Narudia tena! Wewe akili yako bado iko karne ya 6
Michango yako yote kuwahusu kina fulani inafahamika na ipo humu! Umsemee mazuri Mpina Wewe?
Ni ujinga kudhani Mpina akikomolewa kwa mambo ya kipumbavu eti wewe uone umetangaza soko la kile unaamini!
Kama amesingiziwa kamati ya siku 14 itatupa majibu......Tufanye atawaachia hilo shamba! Baada ya hapo? Mtakuwa mmejibu hoja zake?
Kuwa CCM yahitaji unyofolewe ufahamu
CCM ni chama mkuu wangu...wana CCM ni watu....watu wako wachafu na wasafi kivitendo.....Tulishasema na tunarudia tena na tena kuwa CCM ni ukoo wa panya wote mafisadi wanazidiana viwango vya upigaji tu.
Mkuu vipi ?!!!Kutakua na milipuko ya backfire. Wala wasithubutu kumsulubu mpina. Wakilianzisha tunalo. Wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi walifanikiwa kumzuia lowassa na membe... wasijaribu ama sivyo watakinukisha.
Kwanini ni maigizo ?!!![emoji15][emoji15]Nchi nzima turudi shuleni kusoma kama tutayaamini haya maigizo
Samaki nguvu zake majiniNa wakimtoa huko atakuwa moto mwingine. Bora wachague kubaki naye
Unaakili za kitoto kweliSukuma Gang mwenzenu kanasa huku
Unataka wa picha au maandishi?Ushahidi wa zengwe uko wapi?
Wewe huna akili kabisaUnaakili za kitoto kweli